Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama lengo lako kwenda kusaidia jamiii unaogopa nn kuiba japo kura tu na sio pesaKwahiyo wewe wizi fursa kwako?
Kwahiyo unaweza kutoa msaada kwa kuiba kura, hao wananchi unaotaka kuwasaidia si utaishia kuwaibia fedha zao tu?Kama lengo lako kwenda kusaidia jamiii unaogopa nn kuiba japo kura tu na sio pesa
Siasa mchezo mchafu ni msemo wa majukwaa, kwani Abdul hakutoa pesa hivyo Lissu kukemea pesa za rushwa ndio uchafu je angeacha ingekuwa usafi?Ujasikia Siasa mchezo mchafu Nani atumii mbinu iliashinde ujaona Lisu akimnanga mwenzie na pesa za Abdur!!!
Basi kama wewe kwako wizi ni fursa mimi siungi mkono unachokisema.ndio Siasa iyo uchaguzi wa CHADEMA kura buku tu kwanini watu wamekesha macho mpaka asubui unaweza kutoa Sababu? Siasa na Wizi ni ndugu wa Baba m'moja!!!!
Kwa taarifa yako matokeo yako kwenye vituo vya kura na sio majumuisho ya tume. Uchaguzi ww kuhuni huanzia huko huko kwenye vituo vya kura. Hakuna anayepima uchaguzi wa haki kwa matokeo kutangazwa haraka.Kura elfu 1 zimeesabiwa kwa masaaa mangapi watu awajalala siku nzima ndio Uchaguzi wa haki!!
Watu wote waliopiga kura wamebaki macho usiku mzima hiii ndio haki
tuje Uchaguzi Serikali za mitaa chini ya mkurugenzi wa Jiji mitaa + vijiji vituo vimefugwa saa 11 jioni kufika saa mbili au seem nyengine saa3 usiku matokeo tayali
nyie CHADEMA kura buku watu wamekesha macho!!!! Alafu nyie eti ndio muifundishe Serikali namna ya kusimamia Uchaguzi Mkija kusimamia uchaguzi wa jimbo tu
tutegemee Matokea baada ya siku ngapi!!!!!!