Pre GE2025 CHADEMA hawajajipanga na uchaguzi, njia pekee ya kukwepa aibu ni kugomea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe jamaahuna akili. Sababu walizozitoa CHADEMA unaziona hazina maantiki? Wewe unaona sawa mtu mwenye maslahi na uchaguzi kuteuwa wasimamizi wa uchaguzi?
 
Pumbafu, sheria zilipitishwa na nani?
 
Wewe jamaa kila siku humu unalialia kupigania haki ya wapelestina, sasa Israeli na ccm zina tofauti gani linapokuja jambo la kuzuia haki ya watu wengine?

Wewe si mpigania haki maana mpigania haki siku zote anakuwa upande wa wanaoonewa no matter what

Nimeanza kukudharau
 
Chaguzi gani? Hizo za kupotezeana muda. CDM wapo sahihi.
 
Kwani Tanzania kuna uchaguzi au upuuzi?

Tunajua Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndo mwisho wa ufedhuli wenu CCM hivyo hamuwezi kukubali kirahisi.
 
Wewe punguani kweli yaani CCM unafananisha na Israel.
Nyie walokole mna shida sana.
 
Your browser is not able to display this video.

Kweli Chadema haijajipanga na haijajipanga kushiriki uchaguzi na kupata ushindi bandia kwa kuweka kura batili kituoni.

Kujipanga kwenyewe kwa CCM ndio huku , kujaza vyombo vya dola na wakurugenzi ili kusimamia kura za kishindo za chama cha majizi?

Kama CCM imejipanga kwanini haitaki fair ground kwa kuundwa upya tume huru ya uchgauzi?
 
Kauli ya Lissu kuwa " No Reform No Election" ni kauli ya kijinga na ya mwanasiasa mpumbavu tu. Mwanasiasa anayeamini kwenye vurugu ndiyo mzuri sana kwa kuwa ni rahisi kumshughulikia na Lissu.
Mkuu toka amaetamka hiyo kauli ni vurugu gani imepokea mpaka sasa!!
Hebu fafanua, tukuelewe
 
Mkuu tutajie vurugu moja tu ambayo imetokea toka atamke hiyo kauli.
 
Hii propaganda ya hela utawakamata wazee wenzako na vijana mazombie. Hakuna mwenye muda wa kushiriki uchaguzi wa kishenzi.
Sasa unasajili chama ukitumie kuchangisha pesa za nyumbu!! sio kukitumia kwenye uchaguzi!!! Naona wale wanaotaka kuamia Chadema wakune kichwa vizuli!!!!
 
Lissu badala ya kupeleka mapesa CDM kapeleka tumbo lake tu.
Mapesa wewe yamekusaidia nini!!?
Mbona unaonekana bado ni hohehahe kwa mabandiko yako!!??

Kama unategemea mtu kukupigia kura sababu ya pesa, wewe huna tofauti na wale jamaa wa rangi za upinde ambao POTUS amewapiga marufuku..
 
Sasa unasajili chama ukitumie kuchangisha pesa za nyumbu!! sio kukitumia kwenye uchaguzi!!! Naona wale wanaotaka kuamia Chadema wakune kichwa vizuli!!!!
Ni "unasajiri" na si "unasajili".
Ni " kuhamia" na si "kuamia".
Ni " vizuri" na si "vizuli".

Tafadhali rudi huko Facebook na Tik Tok ukaonyeshe ukilaza wako.
 
Chaguzi gani? Hizo za kupotezeana muda. CDM wapo sahihi.
TUWAKUMBUSHE

Tume ilizunguka kuchukua maoni na mkasusia. Mkaandamana na kuandika barua mpaka UN kupinga na ilikuwa ni haki yenu kwa kuwa kupinga ni kawaida yenu!..

Sasa ni hivi miswada minne ya uchaguzi ilishapita kwenye mchakato na bunge likamaliza kazi yake na sasa ni sheria rasmi, sheria hizo ni kama ifuatavyo;

⚫️Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba moja ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba mbili ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa namba tatu ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya sheria mbalimbali namba nne ya mwaka 2024.

Sijajua mnataka marekebisho gani? Kama hamkujipanga na uchaguzi waambieni watu wenu ukweli siyo kuongea vitu kama mmelewa!.
 
Mkuu tutajie vurugu moja tu ambayo imetokea toka atamke hiyo kauli.
Tunajua kuwa Heche ana mobilize makundi ya vijana kwa ajili ya kufanya vurugu na kuchochea vurugu na bahati mbaya sana wanashirikiana na wanaharakati kuratibu maandamano kama ya Kenya kwa lengo la kuzuia na kukwamisha uchaguzi..
 
 
Seen
 

Hoja za kijinga jinga muda wake umepita. Sasa Chadema wana vipanga kweli kweli wanao jua kuongea, wana maono, hawaogopi na wana pendwa sana kila mahali. Lakini Watanzania wameanza kuamka na wanajitambua kuliko 2020. Mtakuwa na kazi kweli kweli mwaka huu kama msikofanya mambo matatu niwape onyo tu bila tume huru mwaka huu CCM hamtasahau. Mchague mapema mnataka damu au Haki hakuna chaguo lingine mwaka huu. Kama mnataka kuuwa watu kwasababu ya haki zao mwaka huu watu wasio na hatia watakufa lakini mkichagua haki kwa kila Mtanzania basi tutaona chaguzi.

Kama mna pesa ya chaguzi basi itakuwa rahisi tu kuweka tume huru maana nyie si mna pesa kigugumizi cha nini ? Hawa jamaa Lissu na Heche sio bla bla
 
Sasa ni hivi miswada minne ya uchaguzi ilishapita kwenye mchakato na bunge likamaliza kazi yake na sasa ni sheria rasmi, sheria hizo ni kama ifuatavyo;

⚫️Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba moja ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi namba mbili ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa namba tatu ya mwaka 2024;
⚫️Sheria ya Marekebisho ya sheria mbalimbali namba nne ya mwaka 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…