CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Sasa kwaiyo kushinda kwa Upinzani ndio kupigania Haki!!!! Aki adi upinzani ushinde jamaaa ujaeleweka!!Wewe jamaa kila siku humu unalialia kupigania haki ya wapelestina, sasa Israeli na ccm zina tofauti gani linapokuja jambo la kuzuia haki ya watu wengine?
Wewe si mpigania haki maana mpigania haki siku zote anakuwa upande wa wanaoonewa no matter what
Nimeanza kukudharau
Cdm haihitaji makondoo boss, na kushiriki chaguzi za kishenzi ili kuwahalalisha ccm kukaa madarakani, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.Sasa unasajili chama ukitumie kuchangisha pesa za nyumbu!! sio kukitumia kwenye uchaguzi!!! Naona wale wanaotaka kuamia Chadema wakune kichwa vizuli!!!!
Izo kura za Serikali ya mtaaa katokea kiongozi amnazo m1 na alikamatwa sasa ndio kusema Chadema na wapinzani wote wakaambulia 2%View attachment 3216530
Kweli Chadema haijajipanga na haijajipanga kushiriki uchaguzi na kupata ushindi bandia kwa kuweka kura batili kituoni.
Kujipanga kwenyewe kwa CCM ndio huku , kujaza vyombo vya dola na wakurugenzi ili kusimamia kura za kishindo za chama cha majizi?
Kama CCM imejipanga kwanini haitaki fair ground kwa kuundwa upya tume huru ya uchgauzi?
Kumbe hata video hujaangalia umedandia kutoa reply.Izo kura za Serikali ya mtaaa katokea kiongozi amnazo m1 na alikamatwa sasa ndio kusema Chadema na wapinzani wote wakaambulia 2%
kisa mtaa m1 CCM 98% visababu visivo na mashiko Polisi walimdaka mtuumiwa makosa yapo lkn sio kwa asilimia kubwa kiasi nyinyi ndio muambulie 2% Wekezeni vijijini ili CCM iyanguke sio kwenye tume!!
CCM ipo itakuwepo ata ukisusa Kenya Raila alisusa uchaguzi aukufanyika Zanzibar Je.Cdm haihitaji makondoo boss, na kushiriki chaguzi za kishenzi ili kuwahalalisha ccm kukaa madarakani, ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Kweli sijaona adi mwisho!!! Bado ni Mbunge CCM inawabunge mamia wabunge nao nikama Serikali za mitaa wanajiongeza ata ungekuwa ww ungejiongeza kama kuna fursa!!!!Kumbe hata video hujaangalia umedandia kutoa reply.
Huo ni uchafuzi mkuu October 2020 jimbo la Kawe.
Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi.
Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale Mlimanu City na tulielezwa kuwa hata mkutano wao ulifadhiliwa na watu binafsi kwa kuwa chama hakina hela za kufanya hivyo.
Ni kichekesho sana na mwanzo wa kufeli eti uongozi wa Lissu, unahimiza sasa watu wanunue kadi za uanachama! Hivi wapi duniani kuna chama cha siasa kinaweza kujiendesha kwa kutegemea ada za wanachama? Yaani Mtanzania gani anayeweza kujitoa ufahamu na kununua kadi ya uanachama kwa 500,000/= TZS . Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Huna hela huwezi kufanya siasa wala kuongoza na kuendesha chana na kukiigiza kwenye uchaguzi.
Kauli ya Lissu kuwa " No Reform No Election" ni kauli ya kijinga na ya mwanasiasa ambaye hajitambui Kwa ambao ni wavivu kusoma mambo ni kuwa sheria za uchaguzi zilishabadilishwa na bunge likajadili kwa kina sana na zikapitishwa na sasa ni sheria ndiyo maana hata tume ya uchaguzi ilibadilishwa muundo wake na kadhalika. kwa hiyo mtu anaposema sijui sheria mpya itungwe ni mlevi tu na mjinga.
Mwisho kabisa ni kuwa Tanzania ina vyama vya siasa vingi kufikia 18 na hivyo wengine wakisusa basi kuna vyama vitashiriki na uchaguzi utafanyika na viongozi watapatikana. Kwani 2019 Chadema si walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kulitokea nini? Mambo si yaliendelea kama kawaida au? kwa hiyo wakisusa uchaguzi wa mwaka huu itaturahisishia sana kazi ya kumalizana nao kwenye uwanja wa kisiasa.
Acha upotoshaji wa kijinga, nani amekuambia hadi ccm ianguke ndio haki imetendeka? Hatuna tatizo na mshindi, tuna tatizo na jinsi mshindi anavyopatikana. Juzi uchaguzi wa cdm umeonyesha ni jinsi gani uchaguzi wa haki unapaswa kuwa.Sasa kwaiyo kushinda kwa Upinzani ndio kupigania Haki!!!! Aki adi upinzani ushinde jamaaa ujaeleweka!!
Palestina wapo na mgogolo wa Ardhi na waisrael vipi ufananishe na kunyimwa haki wapinzani!! wenyewe kwa wenyewe wananyimana Haki!! iyo AKI adi CCM iyanguke ndio ujue wamepewa haki!!!!!
Kwahiyo wewe wizi fursa kwako?Kweli sijaona adi mwisho!!! Bado ni Mbunge CCM inawabunge mamia wabunge nao nikama Serikali za mitaa wanajiongeza ata ungekuwa ww ungejiongeza kama kuna fursa!!!!
Hakuna tatizo hata milioni, lakini tuwe na uhakika wa matumizi. Sisi sio mafamba wa kutawaliqa na mtu mmoja kwa 20+yrs.Kataka Office kapewa Lisu asietaka pesa za Abdur sasa muwe tayali kuchangia chama!! Kadi tsh 500,000 !!!!
Ni kweli, ccm inasubiri kuhalalishwa na vyombo vya dola.CCM ipo itakuwepo ata ukisusa Kenya Raila alisusa uchaguzi aukufanyika Zanzibar Je.
vizuli mkisusa ila msizuiye tu wananchi kwenda kwenye uchaguzi vyama vipo vingi maisha yataendelea
CCM aijawai kusubili kuhalalishwa na Chadema kazi kwanu kama mtamsikiliza Lisu!
Punguza mihemko kijana. Lissu ni taasisi vile vile kama alivyo mwenyekiti wa chama chako cha mufilisi "Sameer ". Unaongea pumba tu! Bassirou Diomaye Faye amekuwa Rais wa Senegal kwa sababu chama chake kilikuwa na billions of whatever currency??$...Wanaukumbi.
Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi.
Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale Mlimanu City na tulielezwa kuwa hata mkutano wao ulifadhiliwa na watu binafsi kwa kuwa chama hakina hela za kufanya hivyo.
Ni kichekesho sana na mwanzo wa kufeli eti uongozi wa Lissu, unahimiza sasa watu wanunue kadi za uanachama! Hivi wapi duniani kuna chama cha siasa kinaweza kujiendesha kwa kutegemea ada za wanachama? Yaani Mtanzania gani anayeweza kujitoa ufahamu na kununua kadi ya uanachama kwa 500,000/= TZS . Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Huna hela huwezi kufanya siasa wala kuongoza na kuendesha chana na kukiigiza kwenye uchaguzi.
Kauli ya Lissu kuwa " No Reform No Election" ni kauli ya kijinga na ya mwanasiasa ambaye hajitambui Kwa ambao ni wavivu kusoma mambo ni kuwa sheria za uchaguzi zilishabadilishwa na bunge likajadili kwa kina sana na zikapitishwa na sasa ni sheria ndiyo maana hata tume ya uchaguzi ilibadilishwa muundo wake na kadhalika. kwa hiyo mtu anaposema sijui sheria mpya itungwe ni mlevi tu na mjinga.
Mwisho kabisa ni kuwa Tanzania ina vyama vya siasa vingi kufikia 18 na hivyo wengine wakisusa basi kuna vyama vitashiriki na uchaguzi utafanyika na viongozi watapatikana. Kwani 2019 Chadema si walisusia uchaguzi wa serikali za mitaa kwani kulitokea nini? Mambo si yaliendelea kama kawaida au? kwa hiyo wakisusa uchaguzi wa mwaka huu itaturahisishia sana kazi ya kumalizana nao kwenye uwanja wa kisiasa.
Wapi nimesema wapinzani wakishinda ndi kunakuwa na haki? Kinachotakiwa uchaguzi huwe wa haki, mtu akishinda ashinde kwa haki vile vile atakayeshindwa ashindwe kwa hakiSasa kwaiyo kushinda kwa Upinzani ndio kupigania Haki!!!! Aki adi upinzani ushinde jamaaa ujaeleweka!!
Palestina wapo na mgogolo wa Ardhi na waisrael vipi ufananishe na kunyimwa haki wapinzani!! wenyewe kwa wenyewe wananyimana Haki!! iyo AKI adi CCM iyanguke ndio ujue wamepewa haki!!!!!
Huna Mbunge hata mmoja, unadai reforms? una akili kweli?Punguza mihemko kijana. Lissu ni taasisi vile vile kama alivyo mwenyekiti wa chama chako cha mufilisi "Sameer ". Unaongea pumba tu! Bassirou Diomaye Faye amekuwa Rais wa Senegal kwa sababu chama chake kilikuwa na billions of whatever currency??$...
Tanzania haimilikiwi na chama chochote cha siasa. #Rudi tena shule!
Huna akili na unatia aibuHuna Mbunge hata mmoja, unadai reforms? una akili kweli?
Siasa ni mchakato na tukio. Yani, ili upate reforms mnazotaka, lazima kwanza mshinde serikali, kisha pelekea hoja Bungeni ufanye mabadiliko unayotaka.
Watanzania zaidi ya asilimia 95 wana amani na hawana hofu na mfumo uliopo na walishiriki pia kutoa maoni yao.
Inashangaza sana kuona chama kinachojiita cha Demokrasia hakielewi mchakato wa Kidemokrasia.
Lissu anakipeleka hiki chama kubaya sana na huu, ndio utakuwa mwisho wa Chadema kwenye siasa za Tanzania.
Kura elfu 1 zimeesabiwa kwa masaaa mangapi watu awajalala siku nzima ndio Uchaguzi wa haki!!Acha upotoshaji wa kijinga, nani amekuambia hadi ccm ianguke ndio haki imetendeka? Hatuna tatizo na mshindi, tuna tatizo na jinsi mshindi anavyopatikana. Juzi uchaguzi wa cdm umeonyesha ni jinsi gani uchaguzi wa haki unapaswa kuwa.