CHADEMA hawakusoma alama za nyakati wakati wa kuliandaa jambo lao

Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana kama mange, mzee warioba, malisa, dini kufanikisha jambo lao huku wao wenyewe wakijificha kwenye shamba la karanga wasionekane.

Vipaumbele vya dunia: masikio, macho, akili na vipaumbele vya dunia sasa hivi ni Ukrane, Urusi, Israel, Palestine, Sudan, DRC na Venezuela; sio Tanzania. Matukio yanayotokea tz sio habari ya maana kidunia. Walitua njia duni sana kutaka kulivusha jambo lao kimataifa, lakini waliambulia patupu. Halikupata nafasi kidunia, waliishia kuhatarisha maisha ya vijana wasiokuwa na hatia wala maslahi na jambo lao.

Kuvuka redlines: Samia hakuwa mbaya kwenye haki za binadamu na demokrasia kwa watu wake kuliko watangulizi wake JPM, JK, Mkapa, Mzee Mwinyi wala Nyerere. Anatumia Katiba na sheria zilezile kama watangulizi wake. Hajazuia haki za wazungu kuwekeza au wala kuwazuia wazungu kupora rasilimali zetu. hali imebaki ileile kama zamani (status quo) kwa watanzania na wageni. Hakuna mstari mwekundu wowote umevukwa kitaifa na kimataifa. Walitumia wahuni binafsi kuonyesha kuna mauaji ya kutisha.

Demokrasia na haki finyu Tanzania: Inafahamika kidunia kuwa Demokrasia na haki kwenye taifa letu na afrika bado ni changa sana. Demokrasia na haki lazima vionekane hata kwenye ngazi ya kifamilia, jamii, taasisi kama mashule, nk kabla ya kuonekana kwenye ngazi ya serikali kuu. Hadi sasa Tanzania tunayo makabila ambayo watoto wao wa kike wananyimwa haki ya kumiliki ardhi ya familia, lakini makabila hayohayo yanadai haki pana serikali kuu, haingii akilini. Kuna makabila yanapiga wake zao lakini yako mbele kudai haki na demokrasia serikali kuu. Jamii yetu haina haki na demokrasia pana kama ilivyo kwa nchi za Magharibi, hivyo ni vigumu kuiona haki na demokrasia pana kwenye serikali kama ilivyo kwa serikali za nchi za Magharibi. Dunia inapuuza vilio vya haki na demokrasia pana Afrika.

Mambo yote haya yamesababisha kilio cha chadema kuhusu ukosefu wa haki na demokrasia kwenye ngazi ya dunia kuonekana kama mzaha wa watoto. Kiwango chetu cha ukosefu wa haki na demokrasia tz bado ni himilivu sana kidunia kulinganisha na kinachotokea Ukrane, Urusi, Israel, Palestine, Sudan, DRC, Yemen, Somalia, Venezuela, Kashmir, Lebanon, nk. Hata mitaji ya nchi za Magharibi na wafanyakazi wa mashirika ya umoja wa mataifa wanaonekana wako salama zaidi Tanzania kuliko nchi nyingi za Afrika. Yani kama ungekuwa mchezo wa mpira wa miguu chadema wangeonekana kama vile wamemhadaa refa kwa kujiangusha kwenye kisanduku cha penati. Ndiyo maana sio UN wala AU waliotilia maanani jambo lao la uchaguzi na mauaji.

Warudi wakajipange upya.
Iweke kwa mistari minne tu ili tuelewe hoja yako.
 
Samia ni mtekwaji mwandamizi kwa sasa.
 
Dah chawa najaribu kuwa ignore kila siku na awaishi
chadema wanadhani wazungu hawaijui Tanzania na Afrika. Chadema wanadhani wazungu hawana njia nyingine bora na za kuaminika juu ya yanayoendelea Tanzania na Afrika.
Umejiegemeza kwa CHADEMA lakini ukweli na iliyo haki dhamira yako ni Watanzania kuichoka CCM.Hakuna lingine.
miaka 60 chama hichohicho, bila shaka watu wanatamani fleva nyingine. Shida ya vyama vya upinzani havina sera zinazoeleweka. Ni vyama vinavyovisia watukio yatokee ili viyaorodheshe kama sababu inayotosha kwa wao kwenda Ikulu. Lakini hawaelezi wao wakienda Ikulu watafanya nini ili umeme usikatike, maji yasikosekanake kwa kila mtanzania, kule ngorongoro wanyama wataishije na watu wanaozidi kuongezeka idadi na kubadilika tabia zao, wakulima watalimaje, nk. Hawasemi madini watayachimbaje na masoko huru watayapata wapi.

Dhamira ya Nyerere kuvitaka vyama vingi haikuwa kuiangusha CCM bali kuiamsha CCM isilale wakati yeye atakapokuwa hayuko duniani. Na alitaka vyama vya upinzani wawe wengi bungeni sio kwenda Ikulu. Maana aliviita vyama vya upinzani 'dogs'
 
chadema wanadhani wazungu hawaijui Tanzania na Afrika. Chadema wanadhani wazungu hawana njia nyingine bora na za kuaminika juu ya yanayoendelea Tanzania na Afrika.

miaka 60 chama hichohicho, bila shaka watu wanatamani fleva nyingine. Shida ya vyama vya upinzani havina sera zinazoeleweka. Ni vyama vinavyovisia watukio yatokee ili viyaorodheshe kama sababu inayotosha kwa wao kwenda Ikulu. Lakini hawaelezi wao wakienda Ikulu watafanya nini ili umeme usikatike, maji yasikosekanake kwa kila mtanzania, kule ngorongoro wanyama wataishije na watu wanaozidi kuongezeka idadi na kubadilika tabia zao, wakulima watalimaje, nk. Hawasemi madini watayachimbaje na masoko huru watayapata wapi.

Dhamira ya Nyerere kuvitaka vyama vingi haikuwa kuiangusha CCM bali kuiamsha CCM isilale wakati yeye atakapokuwa hayuko duniani. Na alitaka vyama vya upinzani wawe wengi bungeni sio kwenda Ikulu. Maana aliviita vyama vya upinzani 'dogs'
Go to hell maz fu,,,k
 
We Mjinga, huyo muuaji Samia na magenge yake HAWASAFISHIKI tena. Yeye akae mkao wa kusubiri hatma yake tu, hakuna namna tena.
View attachment 3525606
Ukimzingua atakuzingua. Mlidhani anatania. Chadema kuna wasomi uchwara ambao hawaujui ukuu alionao Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba ya 1977. Nashindwa Katiba iliyopo ni halali na inafanyakazi kama ilivyokusudiwa. Kama ukiijua Katiba hii ilivyo huwezi kumbagaza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz, ni hatari kwako vibaya sana. Huwezi kufua dafu kwa kumtukana Rais aliyeapa kuilinda Katiba hii 1977, atakuzingua vibaya sana.
 
Ndo yeye,fala sana huyu bwana,anataka kutufanya sisi sote ni wahuni kama yeye
Weka wewe mm nimemaliza. hawakusoma alama za wakati, walikurupuka. Wangesubiri mgogoro wa Ukraine uishe kwanza ndio walete upele wao ukunwe na wazungu. Sasa hivi hata EU yenyewe imeparaganyika na iko hoi kiuchumi kutokana na vita ya Ukraine na ushuru wa Trump; viongozi wao hawana uhakika wa kusalia madarakani, kuwaambia habari za Tanzania wanakuona pimbi tu.
 
CDM ipo mioyoni tofauti na CCM ipo kwenye fulana na kofia na rushwa mnazogawa
Hivyo ndivyo mnavyojidanganya walahi. Chadema haina watu hata kidogo. Kama ingekuwa na watu tungeona timbwilitimbwili lake baada ya Mbowe, Lissu na/au Heche kukamatwa. Lissu anasota rumande lakini watanzania wako kwenye harakati zao za maisha yao ya kila siku. Wanaohangaika na kukamatwa kwao ni walewale wavimbamacho wanaolilia maslahi yao. Hata Octoba 29 vurugu zilizimwa kirahisi kama kibatali kwasababu chadema haina watu; iliwalazimu waazime wakenya kuja kuichoma nchi yetu. Mtanzania wa kweli kabisa wa Mbagala asingeweza kuchoma usafiri wake wa mwendokasi unaomsaidia kwenda na kurudi Mbangala na Kariakoo.
 
Je walioua watu 10000 ndio walijipanga??

Hatujasahau.
20260104_130928.jpg
 
chadema wanadhani wazungu hawaijui Tanzania na Afrika. Chadema wanadhani wazungu hawana njia nyingine bora na za kuaminika juu ya yanayoendelea Tanzania na Afrika.

miaka 60 chama hichohicho, bila shaka watu wanatamani fleva nyingine. Shida ya vyama vya upinzani havina sera zinazoeleweka. Ni vyama vinavyovisia watukio yatokee ili viyaorodheshe kama sababu inayotosha kwa wao kwenda Ikulu. Lakini hawaelezi wao wakienda Ikulu watafanya nini ili umeme usikatike, maji yasikosekanake kwa kila mtanzania, kule ngorongoro wanyama wataishije na watu wanaozidi kuongezeka idadi na kubadilika tabia zao, wakulima watalimaje, nk. Hawasemi madini watayachimbaje na masoko huru watayapata wapi.

Dhamira ya Nyerere kuvitaka vyama vingi haikuwa kuiangusha CCM bali kuiamsha CCM isilale wakati yeye atakapokuwa hayuko duniani. Na alitaka vyama vya upinzani wawe wengi bungeni sio kwenda Ikulu. Maana aliviita vyama vya upinzani 'dogs'
Basi,una changamoto kubwa kama ndivyo unavyowaza kila siku.
 
Je walioua watu 10000 ndio walijipanga??

Hatujasahau.
View attachment 3525653
Hapo ni wapi, Kivu au Sudan? Sijaona alama yoyote inayoonyesha kwamba hapo ni Tanzania. Vijana wengi wa Watanzania huwa wengi wanapenda kuvaa T-shirts za jezi za timu za Yanga, Simba au Azam. Haiwezekani hao wote asiwepo hata mmoja mwenye jezi hizo. Critical thinking. Mnaokoteza uhalali wa kuchoma vituo vya polisi bila kufa.
 
Hapo ni wapi, Kivu au Sudan? Sijaona alama yoyote inayoonyesha kwamba hapo ni Tanzania. Vijana wengi wa Watanzania huwa wengi wanapenda kuvaa T-shirts za jezi za timu za Yanga, Simba au Azam.
Unauliza hapo ni wapi hupajui morgue ya Mwananyamala?
Haiwezekani hao wote asiwepo hata mmoja mwenye jezi hizo. Critical thinking. Mnaokoteza uhalali wa kuchoma vituo vya polisi bila kufa.
Wakiita critical thinkers na wewe unapita mbele kabisa??

Umesoma mada uliyoandika na unavyojadili na kufanya utetezi katika michango yako?

Na hapa utasema ni Darfur au Kivu , siku hizi Kivu au Darfur kuna MSD??
 
Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana kama mange, mzee warioba, malisa, dini kufanikisha jambo lao huku wao wenyewe wakijificha kwenye shamba la karanga wasionekane.

Vipaumbele vya dunia: masikio, macho, akili na vipaumbele vya dunia sasa hivi ni Ukrane, Urusi, Israel, Palestine, Sudan, DRC na Venezuela; sio Tanzania. Matukio yanayotokea tz sio habari ya maana kidunia. Walitua njia duni sana kutaka kulivusha jambo lao kimataifa, lakini waliambulia patupu. Halikupata nafasi kidunia, waliishia kuhatarisha maisha ya vijana wasiokuwa na hatia wala maslahi na jambo lao.

Kuvuka redlines: Samia hakuwa mbaya kwenye haki za binadamu na demokrasia kwa watu wake kuliko watangulizi wake JPM, JK, Mkapa, Mzee Mwinyi wala Nyerere. Anatumia Katiba na sheria zilezile kama watangulizi wake. Hajazuia haki za wazungu kuwekeza au wala kuwazuia wazungu kupora rasilimali zetu. hali imebaki ileile kama zamani (status quo) kwa watanzania na wageni. Hakuna mstari mwekundu wowote umevukwa kitaifa na kimataifa. Walitumia wahuni binafsi kuonyesha kuna mauaji ya kutisha.

Demokrasia na haki finyu Tanzania: Inafahamika kidunia kuwa Demokrasia na haki kwenye taifa letu na afrika bado ni changa sana. Demokrasia na haki lazima vionekane hata kwenye ngazi ya kifamilia, jamii, taasisi kama mashule, nk kabla ya kuonekana kwenye ngazi ya serikali kuu. Hadi sasa Tanzania tunayo makabila ambayo watoto wao wa kike wananyimwa haki ya kumiliki ardhi ya familia, lakini makabila hayohayo yanadai haki pana serikali kuu, haingii akilini. Kuna makabila yanapiga wake zao lakini yako mbele kudai haki na demokrasia serikali kuu. Jamii yetu haina haki na demokrasia pana kama ilivyo kwa nchi za Magharibi, hivyo ni vigumu kuiona haki na demokrasia pana kwenye serikali kama ilivyo kwa serikali za nchi za Magharibi. Dunia inapuuza vilio vya haki na demokrasia pana Afrika.

Mambo yote haya yamesababisha kilio cha chadema kuhusu ukosefu wa haki na demokrasia kwenye ngazi ya dunia kuonekana kama mzaha wa watoto. Kiwango chetu cha ukosefu wa haki na demokrasia tz bado ni himilivu sana kidunia kulinganisha na kinachotokea Ukrane, Urusi, Israel, Palestine, Sudan, DRC, Yemen, Somalia, Venezuela, Kashmir, Lebanon, nk. Hata mitaji ya nchi za Magharibi na wafanyakazi wa mashirika ya umoja wa mataifa wanaonekana wako salama zaidi Tanzania kuliko nchi nyingi za Afrika. Yani kama ungekuwa mchezo wa mpira wa miguu chadema wangeonekana kama vile wamemhadaa refa kwa kujiangusha kwenye kisanduku cha penati. Ndiyo maana sio UN wala AU waliotilia maanani jambo lao la uchaguzi na mauaji.

Warudi wakajipange upya.

Demokrasia ni changa Tanzania lakini sio Zambia, Malawi, Botswana, Namibia, Kenya, South Africa, Ghana ina maana sisi ni wajinga jinga !!!! Watanzania wanataka HAKI bila hayo mnapoteza muda tu . Mnakosea sana kufikiri ni Chadema !!!! hao watu ni watanzania wa kawaida sana. Uchawa ulaaniwe
 
Hiyo demokrasia huko Zambia, Malawi, Botswana, Namibia, Kenya, South Africa, Ghana imewapa nini tofauti na Tanzania?. Je, hawakopi tena, je, wameendelea sana kuliko sisi, je, hakuna utekaji tena, au je, je, je, je?.

Afrika hakuna demokrasia wala haihitajiki kabisa. Maana demokrasia tunayoizungumzia ni kufanya yale wazungu wanayokutaka ufanye hata kama hayawasaidii waafrika. Sisi bado tuko kwenye stage ya kuhimizana kila mtu awe na choo na akitumie, marufuku kukojoa hapa, marufuku kutupa takataka hapa, mwaga maji mengi chooni kabla na baada ya kumaliza haja yako, nk. wakati wazungu wameshapita huko kitambo sana. Mtu anaelazimishwa kuchimba choo na kukitumia hawezi kudai demokrasia kwa kuchoma moto sheli za watu na vituo vya polisi; tusidanganyane.
 
Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa Rais kuwa mwanamke wakidhani kuwa wanawake ni dhaifu kuliko wanaume. Walitumia watu dhaifu sana kama mange, mzee warioba, malisa, dini kufanikisha jambo lao huku wao wenyewe wakijificha kwenye shamba la karanga wasionekane.

Vipaumbele vya dunia: masikio, macho, akili na vipaumbele vya dunia sasa hivi ni Ukrane, Urusi, Israel, Palestine, Sudan, DRC na Venezuela; sio Tanzania. Matukio yanayotokea tz sio habari ya maana kidunia. Walitua njia duni sana kutaka kulivusha jambo lao kimataifa, lakini waliambulia patupu. Halikupata nafasi kidunia, waliishia kuhatarisha maisha ya vijana wasiokuwa na hatia wala maslahi na jambo lao.

Kuvuka redlines: Samia hakuwa mbaya kwenye haki za binadamu na demokrasia kwa watu wake kuliko watangulizi wake JPM, JK, Mkapa, Mzee Mwinyi wala Nyerere. Anatumia Katiba na sheria zilezile kama watangulizi wake. Hajazuia haki za wazungu kuwekeza au wala kuwazuia wazungu kupora rasilimali zetu. hali imebaki ileile kama zamani (status quo) kwa watanzania na wageni. Hakuna mstari mwekundu wowote umevukwa kitaifa na kimataifa. Walitumia wahuni binafsi kuonyesha kuna mauaji ya kutisha.

Demokrasia na haki finyu Tanzania: Inafahamika kidunia kuwa Demokrasia na haki kwenye taifa letu na afrika bado ni changa sana. Demokrasia na haki lazima vionekane hata kwenye ngazi ya kifamilia, jamii, taasisi kama mashule, nk kabla ya kuonekana kwenye ngazi ya serikali kuu. Hadi sasa Tanzania tunayo makabila ambayo watoto wao wa kike wananyimwa haki ya kumiliki ardhi ya familia, lakini makabila hayohayo yanadai haki pana serikali kuu, haingii akilini. Kuna makabila yanapiga wake zao lakini yako mbele kudai haki na demokrasia serikali kuu. Jamii yetu haina haki na demokrasia pana kama ilivyo kwa nchi za Magharibi, hivyo ni vigumu kuiona haki na demokrasia pana kwenye serikali kama ilivyo kwa serikali za nchi za Magharibi. Dunia inapuuza vilio vya haki na demokrasia pana Afrika.

Mambo yote haya yamesababisha kilio cha chadema kuhusu ukosefu wa haki na demokrasia kwenye ngazi ya dunia kuonekana kama mzaha wa watoto. Kiwango chetu cha ukosefu wa haki na demokrasia tz bado ni himilivu sana kidunia kulinganisha na kinachotokea Ukrane, Urusi, Israel, Palestine, Sudan, DRC, Yemen, Somalia, Venezuela, Kashmir, Lebanon, nk. Hata mitaji ya nchi za Magharibi na wafanyakazi wa mashirika ya umoja wa mataifa wanaonekana wako salama zaidi Tanzania kuliko nchi nyingi za Afrika. Yani kama ungekuwa mchezo wa mpira wa miguu chadema wangeonekana kama vile wamemhadaa refa kwa kujiangusha kwenye kisanduku cha penati. Ndiyo maana sio UN wala AU waliotilia maanani jambo lao la uchaguzi na mauaji.

Warudi wakajipange upya.
kosa halipimwi kwa kukulinganisha na wakosaji wengine , kosa linapimwa na namna sheria za nchi zinavyosema

Hakuna sehem wamesema mtu akivuka redline UMTEKE , UMUUE AU KUMSINGIZIA KESI

NB: watu weusi bado mnaendelea kuudhalilisha uafrika baadae mnalalama watu wa rangi rangi wanawabagua , hiz akil mnaonesha ni kiwango cha nyan
 
hakuna nchi yoyote duniani utakuwa hai kama ukichoma kituo cha polisi, kupora silaha na kuvaa sare za polisi. Hawa wahuni waliyafanya yote hayo October 29. Aliyetaka kumuua Trump kwenye kampeni yuko hai? acheni hizo. Kama wewe uko Marekani hebu jaribu tu kumrushia polisi gunzi uone.
 
kosa halipimwi kwa kukulinganisha na wakosaji wengine , kosa linapimwa na namna sheria za nchi zinavyosema

Hakuna sehem wamesema mtu akivuka redline UMTEKE , UMUUE AU KUMSINGIZIA KESI

NB: watu weusi bado mnaendelea kuudhalilisha uafrika baadae mnalalama watu wa rangi rangi wanawabagua , hiz akil mnaonesha ni kiwango cha nyan
Kwani sheria yetu iko kimya kwa mtu anaetaka kupindua nchi au kuharibu mali ya umma?. Kwanini walinzi wanapewa bunduki, wafanyie nini?. Wewe jichanganye tu uone.
 
Back
Top Bottom