CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

mtu poa_

Member
Joined
Mar 11, 2025
Posts
84
Reaction score
137
Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza

Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious mabadiliko yanapiganiwa

Kuwalaumu wananchi ni kuwaonea kama mdude nyagali mwanachama wenu maarufu anafanyiwa vile na nyie mnaishia tu kulalamika huko x kweli hatakama yuko mtu anataka kujiunga na nyie lazima atasita

KOSA WALILOFANYA CHADEMA
  1. kifo cha magufuli- baada ya telesis za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya ule ulikuwa ni mda sahii kwa chadema kutumia ile nafasi kushinikiza mabadiliko lakini chadema na viongozi wao wakabakia mitandaoni kusherehekea lile lilikuwa ni kosa kubwa sana la kimkakati kwa chama kikubwa cha upinzani
  2. Kwa point namba moja nakuhakikishia hata itokee nafasi ya aina gani ni ngumu sana kwa chadema kuichukua hiyo nafasi kwa sababu hawana mikakati ya kuchukua nchi
  3. Mpango wa no reform no election haulezei unatekelezwaje kama wamanchi wasipoandamana ukweli ni kwamba watanzania hawawezi andamana sasa unakujaje na mbinu zilezile ambazo zimeshaprove kufeli
  4. Chadema wanataka kuletewa mabadiliko mezani fahamu mabadiliko yanapiganiwa

Nini kifanyike
Tumieni intelligence tactics tumieni mbinu mbadala mabadiliko yanapiganiwa na kamwe hamtaka mletewe mezani

Walioko tayari waungane na mimi kwenye hii safari ya mabadiliko chadema wameshindwa mpaka sahivi
 
Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza

Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious mabadiliko yanapiganiwa

Kuwalaumu wananchi ni kuwaonea kama mdude nyagali mwanachama wenu maarufu anafanyiwa vile na nyie mnaishia tu kulalamika huko x kweli hatakama yuko mtu anataka kujiunga na nyie lazima atasita

Nini kifanyike
Tumieni intelligence tactics tumieni mbinu mbadala mabadiliko yanapiganiwa na kamwe hamtaka mletewe mezani
Wewe unataka wafanye nini dhidi ya state?
 
Ingekua kuna tume huru zipigwe Kura kihalali Samia angepata Kura chache Sana ingekua historia
 
Ni sawa sawa mko ulingoni mnacheza ndondi ghafla samia anaingiza panga rungu na sime kwenye ulingo nani kashindwa hapo?
Aliyeshindwa hapo ni yule atakayeuawa kwa panga
 
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa viongozi wa nchi kutumia fedha za umma na majeshi kupigana na wananchi wanaotafuta haki zao?
Thibitisha kuwa serikali ndo imehusika
 
Back
Top Bottom