Wewe unataka wafanye nini dhidi ya state?Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza
Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious mabadiliko yanapiganiwa
Kuwalaumu wananchi ni kuwaonea kama mdude nyagali mwanachama wenu maarufu anafanyiwa vile na nyie mnaishia tu kulalamika huko x kweli hatakama yuko mtu anataka kujiunga na nyie lazima atasita
Nini kifanyike
Tumieni intelligence tactics tumieni mbinu mbadala mabadiliko yanapiganiwa na kamwe hamtaka mletewe mezani
Wewe kama unaonewa kila siku na unakaa hivyo hivyo wewe ni zobaWewe unataka wafanye nini dhidi ya state?
Kwenye mapambano huwezi mchagulia adui yako silaha na mbinuSamia ndiye kaishiwa mbinu ameanza kutumia violence dhidi ya wapigania HAKI.
Ni sawa sawa mko ulingoni mnacheza ndondi ghafla samia anaingiza panga rungu na sime kwenye ulingo nani kashindwa hapo?Kwenye mapambano huwezi mchagulia adui yako silaha na mbinu
Kabisa hawana wanachama wenu juzi wamepigwa na wengine kuvunjwa miguu na mikono jana mwingine kachukuliwa kibabe mnakuja kuliala mitandaoni kama lema nimemdharau sanaChadema tangu muda hawanaga mbinu
Bado uko mbali sana kifikra sio kosa lakoNi sawa sawa mko ulingoni mnacheza ndondi ghafla samia anaingiza panga rungu na sime kwenye ulingo nani kashindwa hapo?
Hoja kwa hoja.Bado uko mbali sana kifikra sio kosa lako
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa viongozi wa nchi kutumia fedha za umma na majeshi kupigana na wananchi wanaotafuta haki zao?Kwenye mapambano huwezi mchagulia adui yako silaha na mbinu
Endelea kuzani mabadiliko utaletewa mezaniSikuhizi Hadi wajinga nao Wanajifanya wachambuzi wa siasa.... jamiiforum imechoka sanaa aisee.
Pengine mtoa mada anaitwa msomi kijijini kwao
Watanzania mnasubiri mabadiliko yaje kimiujizaUjinga mzigo
Atakuwa mwanamke wa kwanza kwenda Hague!! Ushahidi unakusanywa.Samia ndiye kaishiwa mbinu ameanza kutumia violence dhidi ya wapigania HAKI za wananchi.
Hiyo nayo ni mbinu, that's why CDM sasa ni mwendo wa kulialia tu mitandaoniSamia ndiye kaishiwa mbinu ameanza kutumia violence dhidi ya wapigania HAKI za wananchi.
Aliyeshindwa hapo ni yule atakayeuawa kwa pangaNi sawa sawa mko ulingoni mnacheza ndondi ghafla samia anaingiza panga rungu na sime kwenye ulingo nani kashindwa hapo?
Thibitisha kuwa serikali ndo imehusikaKwa hiyo wewe unaona ni sawa viongozi wa nchi kutumia fedha za umma na majeshi kupigana na wananchi wanaotafuta haki zao?