CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

Aliyeshindwa hapo ni yule atakayeuawa kwa panga
Samia natumia Mabunduki na Mapanga kupigana na HOJA huoni kama keshashindwa na ANATAPATAPA kama MFA MAJI.
 
Mbinu Gani labda binu, watu washaongezewa mishahara hapo Kuna mbinu Gani tena
 
CCM hawana mbinu tena zaidi ya kuteka, kutesa , kupoteza na kuua wapinzani. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola hasa polisi kuendelea kutawala kihalifu.
 
Poa.
 
Kabisa hawana wanachama wenu juzi wamepigwa na wengine kuvunjwa miguu na mikono jana mwingine kachukuliwa kibabe mnakuja kuliala mitandaoni kama lema nimemdharau sana
Nataka nikufadhili Silaha na dhana nyinginezo.
Ukaanze kazi Magomeni, Kisarawe, Mwananyamala na Madale.

Upo tayari ?
 
Na wewe mbona umekimbilia humu kulalamika badala ya kuonyesha njia sahihi??

Vita vya mageuzi siyo ya viongozi pekee bali ni ya kila mmoja mpenda mageuzi.
 
Na wewe mbona umekimbilia humu kulalamika badala ya kuonyesha njia sahihi??

Vita vya mageuzi siyo ya viongozi pekee bali ni ya kila mmoja mpenda mageuzi.
Ukiongea waziwazi uzi utafungiwa au wewe ni mgeni jamiiforums
 
Attachments

  • 20250501_095314.jpg
    23.5 KB · Views: 13
Tukiwa tunamuachia Mungu sasa tunaomba rasmi Marekani na Uingereza watume vikosi vyao vilivyopo karibu na Pwani ya Tanzania katika bahari ya Hindi kutulinda Watanzania dhidi ya Uharamia wa CCM na vyombo vyao.
 
Huu ni ujinga marekani au Uingereza kamwe hawezi kusaidia bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…