CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

Mwenyekiti yupo jela wewe unasema tulio tayari tukufuate, tukufuate wapi? Au humu kwenye keyboard?
 
Wewe unaogani,kama sii uchawa au zaidi zaidi utekaji
 
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais profesa samia suluhisho hassan kwa neema zake
 
Endelea kuzani mabadiliko utaletewa mezani
Kama Nyerere aliyapata mabadiliko mezani, basi cdm watayapata vivyohivyo. Kasome historia ya nchi yako kwa umakini. Acha kuhamasisha uvunjivu wa amani kwani maandiko yanasema ukipigwa shavu la kuume geuza na la kushoto.
 
Wayapate wapi kwa watu wajinga?Ambao wanabuni kesi za kipumbavu?Wameita Tume Huru ya Uchaguzi kuwaridhisha wafadhili wao wakati tume hiyo ni ya ccm,samia na mapolisi.Vitu vingine muwe mnafikiria mara mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…