CHADEMA hawana uwezo wa kuchukua nchi. Wakikamiwa wanapoa Kama uji wa dundi

Hawana uwezo Kwa sababu, hawana uwezo wa kukaza, hawana uwezo wa mapambano makali ya Muda mrefu.
CHADEMA ni Kama watoto, ambao Sisi wanafasihi tunasemaga Ngoma ya watoto haikeshi.
Nimeishia kusoma hapa nikajua tu umeandika ujinga, Yaani unataka tutumie violence? Mshukuru MUNGU sana kuwa CHADEMA inaamini katika busara na upendo NO HATE NO FEAR.... kwanini tuanzishe violence kwenye nchi yetu wenyewe?
 
Unataka CHADEMA IKAZE NINI? iLI IWEJE? ili mpate justification ya kukifuta? Mimi nilidhani ungekua na akili ungesema CCM hawana uwezo wa kukaza (whatever) maana wao ndio wanajificha nyuma ya state apparatus kutawala na si vinginevyo. Tell them waweke Polisi, TISS, Mahakama, Bunge, NEC na Msajili wawe independent uone kama CCM wataonekana hata mmoja....
 
Hao wote unawaonea tu ila tatizo ni sisi wananchi kwa ujumla na watawala.
 
Nimeishia kusoma hapa nikajua tu umeandika ujinga, Yaani unataka tutumie violence? Mshukuru MUNGU sana kuwa CHADEMA inaamini katika busara na upendo NO HATE NO FEAR.... kwanini tuanzishe violence kwenye nchi yetu wenyewe?

Mimi namshukuru Mungu Kwa Jambo lolote Mkuu iwe Shari au shwari.

Sijasema muanzishe Shari bali pambaneni kufuatana na adui yenu anavyowajia
 
Mimi namshukuru Mungu Kwa Jambo lolote Mkuu iwe Shari au shwari.

Sijasema muanzishe Shari bali pambaneni kufuatana na adui yenu anavyowajia
Hapana, tunamuamini Mungu! Hatuwezi kumwaga damu kisha tuombe ridhaa ya kuongoza huku tukiwa na damu za watu....never.

Chadema sio CCM ambbao wako tayari kupoteza au kudhulumu haki ya MTU ili wabakie madarakani
 
Wewe hujaelewa kabisa mada.
Mtoa mada anachoelezea hapa ni kwamba Chadema hawana consistence kwenye mambo yao.
Yaani wanarukia rukia mambo,kabla jambo fulani halijafikia mwisho wake wanaliacha wanarukia lingine,baadae wananchi wanasubiria muendelezo mara hao wanaosubiriwa watoe muendelezo wanahama chama na kurukia chama kingine hii inawachanganya wananchi na kuwaona hawapo serious kwa ajili ya kuchukua nchi bali wapo kwa ajili ya kuchuma pesa tu.
 
Hapana, tunamuamini Mungu! Hatuwezi kumwaga damu kisha tuombe ridhaa ya kuongoza huku tukiwa na damu za watu....never.

Chadema sio CCM ambbao wako tayari kupoteza au kudhulumu haki ya MTU ili wabakie madarakani

Hapo ndio mnapokosea
 
Watakazaje sasa huku mtaji bado haujatosha?
 
Mimi sio Chadema lakini sikuungi mkono kwa Sababu ,kama unasema hawana nguvu basi ludi nyuma mwaka Jana uchuguzi mkuu na ule serikali za mitaa.kwa akili ya kawaida unatumiaje nguvu ya Dola kupambana na mtu aside na nguvu?CCM walitumia nguvu ya kupola uchaguzi 2020.
Uwe unaongea kwa fact sio kwa ushabiki
 
Haya mambo shida wanayaanzia juu kitu cha kufanya wawajaze sumu kwa Raia huku chini kwa muda wa Miaka miwili Then ndo waende kwenye media lakini haya masuala ya kukimbilia camera fasta hawawezi fika
 
Kwa bahati mbaya vyombo vya dola ndio umevifanya kuwa ccm. Cdm imeshavuka hatua ya kupambana na ccm, kwa sasa wanatafuta njia sahihi ya kuvizidi mahesabu vyombo vya dola. Kwanini inakuwa ngumu kwa cdm kuvizidi vyombo vya dola, bado cdm hawataki kutumia njia za hatari kufanikiwa kisiasa. Njia za matumizi ya silaha za moto, kulipua sehemu za umma bado sio njia cdm waitakayo. Kwenye ushindani watoe ccm, maana hawapitii njia wanayopitia cdm kufanya siasa.
 
Nimecheka kishenzi huu uhuni ulioandika hapa. Ccm kipindi cha JK walituimbisha umeme wa Gas sijui uchumi wa gas kama watoto wadogo. Huku wakisema umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Bomba la gas likifika Dar. Kipindi cha Magufuli wakasema umeme wa maji ndio wenyewe maana ni wa bei rahisi, sasa tuko kwenye bwawa la SG, Je yale mabadiliko ya tabia nchi yaliisha kipindi cha JK mpaka tumerudi kwenye umeme wa maji? Tupe msimamo wa ccm kwenye Hilo.
 
Reactions: BAK
Eti jamaa anajiita mwanafasihi wakati hoja zake hazina hata ushahidi,Kwa majalib na mateso ambayo Chadema wamepitia na bado wakavuka Hawa jamaa ni mashujaa,heshima kubwa kwao,nimpe mfano acheki uchaguzi wa mwaka Jana ndo atajua jamaa ni moto,kwa akili yake vyombo vya Dola vilikua vinapambana na Chadema dhaifu.
 
Naomba unijibu hili swali: Kwanini mnateketeza kodi zetu kila siku kupambana na chama/watu ambao mna uhakika kuwa hawana uwezo wa kuchukua nchi?
 
Reactions: BAK
Naomba unijibu hili swali: Kwanini mnateketeza kodi zetu kila siku kupambana na chama/watu ambao mna uhakika kuwa hawana uwezo wa kuchukua nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…