Mayalla angesema tu MBOWE ASIPEWE RUZUKU kwasababu ruzuku ya CHADEMA huwa ni yake binafsi.
..Chadema wenyewe hawa hapa.
..Wakianza kuzungumza mkutano mzima unaingia hofu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=as1nWwHNfxM&t=12s
Kama anaongea pumba asipewe muongozo?
Kama anaongea pumba asipewe muongozo?
Siku nyingine CHADEMA wasiende kwenye hivyo vikao vya machawa.
Kwa mfano Kigaila kaongea pumba gani na Mwenyekiti wa Wazee alikosea wapi??Kama anaongea pumba asipewe muongozo?
Ccm ni mabwabwa hata akili hayana yamebaki kuzungumzia ruzuku ya chadema huku yakijikata network as if hayachukui ruzuku huyo njaa awambie ccm waache kupokea ruzuku.Hivi CCM hupokea pia ruzuku ya serikali? Kama ndivyo kwanini no chadema tu unanangwa kupkea ruzuku? Ruzuku ya CCM imewahi kufanya Nini cha umma?
Pascal Mayalla anza kukiambia chama chako cha Ccm maneno haya, maana wao ndio wanufaika wakubwa wa ruzuku.Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861719
Acha kujidanganya.Kivipi??
Mbowe hakuingia kwenye siasa kufuata ruzuku. Baba yake ni miongoni mwa watu waliompa Mwalimu hela ya nauli aende UNO zama hizo kabla ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1960-1961.
Lile shamba lao lililoharibiwa wakati ule limo kwenye familia yao kwa miaka zaidi ya 80. Ni wana siasa wangapi wana historia kama hiyo??
Sema utafiti wa TWAWEZA ulionesha watu wa chama chenu huamini kila wanachoambiwa na viongozi wao.
Ipi sasa...?Pumba tupu bana
Inachefua sn hiz MamboPamoja na kupora miradi na uwekezaji kadhaa wa Umma. Pamoja na kutumia magari na fedha za serikali kuendeshea siasa za chama chao, bado CCM kila mwezi inachukua mabilioni ya fedha toka hazina kama ruzuku na kufuja fedha hizo.
Haka kajamaa kana roho mbaya tu hii yote ni kuwaharibia chadema wasistawi, Mungu alivyo na maanabi utafuta ruxuku na ccm itashindwa uchaguzi je itaishi bila ruxuku?Mkuu Idugunde , asante kwa bandiko hili CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao
Hii hoja imejadiliwa pia hapa na Mkuu Sildenafil Citrate , Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee
Wanasiasa, mtanielewa tuu in due time, kwasababu hili sikuanza nalo leo Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
Paskali
Kwakuwa huna akili maana aliondoka nazo JiweAkizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”
“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla
View attachment 2861719
Wachana na hao walioshindwa maishaHivi CCM hupokea pia ruzuku ya serikali? Kama ndivyo kwanini no chadema tu unanangwa kupkea ruzuku? Ruzuku ya CCM imewahi kufanya Nini cha umma?
Alafu wanagawana tu maana hakuna mtu wa kuwaulizaCCM ndiyo wanaoongoza kwa kulipwa ruzuku kubwa.
Lkn bado utakuta jitu linapanua mdomo kuinanga cdmPamoja na kupora miradi na uwekezaji kadhaa wa Umma. Pamoja na kutumia magari na fedha za serikali kuendeshea siasa za chama chao, bado CCM kila mwezi inachukua mabilioni ya fedha toka hazina kama ruzuku na kufuja fedha hizo.