CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

si chini ya asilimia 80% ya hizo ruzuku inaliwa na CCM. Hapo sio Chadema wala Zitto CCM ndio hawawezi kukuelewa kabisa kwenye hilo suala.

Ila kikweli kutoa hela ya umma kwa vyama vya siasa ni kutuumiza wananchi, nchi hata barabara za shida lakini CCM inapewa ma bilioni kila mwezi
 
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861719
Pascal Mayalla anza kukiambia chama chako cha Ccm maneno haya, maana wao ndio wanufaika wakubwa wa ruzuku.
 
Kivipi??

Mbowe hakuingia kwenye siasa kufuata ruzuku. Baba yake ni miongoni mwa watu waliompa Mwalimu hela ya nauli aende UNO zama hizo kabla ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1960-1961.

Lile shamba lao lililoharibiwa wakati ule limo kwenye familia yao kwa miaka zaidi ya 80. Ni wana siasa wangapi wana historia kama hiyo??

Sema utafiti wa TWAWEZA ulionesha watu wa chama chenu huamini kila wanachoambiwa na viongozi wao.
Acha kujidanganya.
 
Pamoja na kupora miradi na uwekezaji kadhaa wa Umma. Pamoja na kutumia magari na fedha za serikali kuendeshea siasa za chama chao, bado CCM kila mwezi inachukua mabilioni ya fedha toka hazina kama ruzuku na kufuja fedha hizo.
Inachefua sn hiz Mambo
Nayaonaga km mashetan
 
Haka kajamaa kana roho mbaya tu hii yote ni kuwaharibia chadema wasistawi, Mungu alivyo na maanabi utafuta ruxuku na ccm itashindwa uchaguzi je itaishi bila ruxuku?
 
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;

“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku, vilikuwa 'funded' na wapenzi na wanachama, ifikie muda tuingie imani na Watanzania na umaskini wetu, kwanini tuendelee kuvipa vyama vya siasa ruzuku?”

“Jana Zitto nimemsikia anadai ruzuku, kama kweli ni kiongozi wa chama na unakipenda chama kwa moyo wako jitolee, uwe na shughuli nyingine ya kuendesha maisha yako utumishi wa chama uwe wa ziadi, sio fedha za Watanzania kwenda kugharamia vyama vya siasa," - Pascal Mayalla

View attachment 2861719
Kwakuwa huna akili maana aliondoka nazo Jiwe
 
Pamoja na kupora miradi na uwekezaji kadhaa wa Umma. Pamoja na kutumia magari na fedha za serikali kuendeshea siasa za chama chao, bado CCM kila mwezi inachukua mabilioni ya fedha toka hazina kama ruzuku na kufuja fedha hizo.
Lkn bado utakuta jitu linapanua mdomo kuinanga cdm
 
Back
Top Bottom