johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katk hlo kundi hakuna wasomi siyo mkuu..Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda
Kwenda Mbeya kufanya vurugu?! Acheni kupotosha, kama ni vurugu ni hapa hapa Dar zingefanyika.Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu
Gen Z ni Generator Z yenye Kizazi cha kuanzia 1997 hadi 2012 ππKwani unaelewa nini kuhusu hii term "Gen Z" mkuu, maana nimejikuta nacheka mwenyewe tu.π π
Huyo greenguard anadhani GEN Z ni political party, CCM imeharibu sana uwezo wa vijana wetu!Kwani unaelewa nini kuhusu hii term "Gen Z" mkuu, maana nimejikuta nacheka mwenyewe tu.π π
Kwa ujumla Tanganyika hakunaga Wasomi wapo waliokariri tuKatk hlo kundi hakuna wasomi siyo mkuu..
Green guard usiwachukulie poa Mwenyekiti wako Mbowe alianziaga huko ππHuyo greenguard anadhani GEN Z ni political party, CCM imeharibu sana uwezo wa vijana wetu!
Uko nyuma ya wakati Twaha mwenezi wa Bavicha alishaweka wazi wanachoenda kufanya πΌBora ungekaa kimya,Chama lilikua kinaenda kufanya kongamano na sio uhuni,vificho vya Nini?
Kulikua na haja gani kuwazuia watu wasiende mbeya maana tukio lenyewe bado halikua limetendeka. Je kwenda kariakoo ni kosa?
I know that John....Gen Z ni Generator Z yenye Kizazi cha kuanzia 1997 hadi 2012 ππ
Ukipenda kinaitwa Kizazi cha " Dunia Kiganjani"
Swali lingine πΌ
Soma taarifa za Jeshi vizuri maana wao wanasema waliwakataza kwenda MbeyaUko nyuma ya wakati Twaha mwenezi wa Bavicha alishaweka wazi wanachoenda kufanya πΌ
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z
Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili
Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge
Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira
Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya
Samahani lakini Ufipa st π
Aliyekuambia kuwa walienda Mbeya kukusanyika ili kuandamana mwambie akapimwe akili kwanza. Mzee mzima kuwa mmbea ni noma sana hapo huna tofauti na Lucas Mwashambwa . Haya kawahi na wewe posho yakoNi kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z
Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili
Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge
Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira
Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya
Samahani lakini Ufipa st π
Lengo la Chadema kusema vijana wajitambue kama GEN-Z Wala si maandamano ya vurugu bali ni kuwa na fikra ya kulikomboa taifa katika mambo mbalimbali yenye uelekeo mbaya Kwa kizazi hiki na kijacho. Wala vijana wa Tanganyika hawawezi kuwa na vurugu kama Kenya labda isababishwe na watawala kama juzi.Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z
Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili
Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge
Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira
Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya
Samahani lakini Ufipa st π
Kwahiyo Kwa akili yako machinga na bodaboda hatujasoma si eti? Yaani hatuna akili! Acha dharau haya ni maisha. Una sehemu ya kutuajiri au? Au tubaposubiri ajira tuje kukukaba au? Acha uzwazwa!Katk hlo kundi hakuna wasomi siyo mkuu..
Walianza kusema Chadema Cha wakristo, wachaga, magaidi na Sasa gen-z. Na bado mtamaliza majina yote Chadema haifi.Kwenda Mbeya kufanya vurugu?! Acheni kupotosha kama ni vurugu ni hapa hapa Dar zingefanyika.
CHADEMA sio Chama cha vurugu acheni kutuzushia.