johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z
Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili
Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge
Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira
Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya
Samahani lakini Ufipa st 😂