Chadema hawawezi kuwa kama Gen Z kwa sababu hawana Mtandao wa Falsafa za Teknolojia, bado wanakusanyika kama enzi za Yesu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z

Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili

Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge

Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira

Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya

Samahani lakini Ufipa st 😂
 
Kwani unaelewa nini kuhusu hii term "Gen Z" mkuu, maana nimejikuta nacheka mwenyewe tu.😂 😂
 
Gen Z ni Generator Z yenye Kizazi cha kuanzia 1997 hadi 2012 😂😂

Ukipenda kinaitwa Kizazi cha " Dunia Kiganjani"

Swali lingine 🐼
 
Bora ungekaa kimya,Chama lilikua kinaenda kufanya kongamano na sio uhuni,vificho vya Nini?

Kulikua na haja gani kuwazuia watu wasiende mbeya maana tukio lenyewe bado halikua limetendeka. Je kwenda kariakoo ni kosa?
 
Uko nyuma ya wakati Twaha mwenezi wa Bavicha alishaweka wazi wanachoenda kufanya 🐼
 
Gen Z ni Generator Z yenye Kizazi cha kuanzia 1997 hadi 2012 😂😂

Ukipenda kinaitwa Kizazi cha " Dunia Kiganjani"

Swali lingine 🐼
I know that John....

Was trying to relate with your thread "CDM hawawezi kuwa kama gen Z" , I doesn't click.
 
Changamoto iliyopo Chama kina Mamluki wengi mno wa CCM! Kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za chini!
Wale wenye kadi mbili,na wale jamaa wa nissan nyeupe ndiyo usiseme!
Ni Mungu tu anakinusuru kingekuwa kilishakufa kama CUF!
 
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z

Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili

Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge

Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira

Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya

Samahani lakini Ufipa st 😂

..Chadema hawakuwa na malengo ya maandamano yanayofanana na Gen Z wa Kenya.

..Wao walitaka kufanya shughuli yao Mbeya na kurudi makwao walikotoka. Na tayari walikuwa wamekodisha mabasi ya kuwarudisha makwao.

..Polisi wa Mama Abduli walipanik bila sababu ya msingi. Mama Abduli na chama chake wanawaogopa VIJANA WA KIZAZI CHA SEKONDARI ZA KATA.
 
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z

Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili

Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge

Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira

Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya

Samahani lakini Ufipa st 😂
Aliyekuambia kuwa walienda Mbeya kukusanyika ili kuandamana mwambie akapimwe akili kwanza. Mzee mzima kuwa mmbea ni noma sana hapo huna tofauti na Lucas Mwashambwa . Haya kawahi na wewe posho yako
 
Ni kweli Kabisa Chadema wanaweza kuleta vurugu na uvunjifu wa Amani lakini tusiwape kichwa kwamba wanaweza kufanya kama Gen Z

Fikiria Chadema wanasafiri kwa Mabasi na Malori kwenda mkutanoni Mbeya lakini Gen Z wanakutana bila kuonana USO kwa Mwili

Chadema wanatangaza kila watakachofanya kabla ya kutenda lakini Gen Z walikutwa wameshaingia ndani ya Bunge

Vijana wa Chadema wengi ni machinga na Bodaboda lakini Gen Z ni muunganiko wa Wanataaluma mbalimbali walioko mtaani bila Ajira

Nakubali Chadema ni Chama kikubwa na kinaweza kufanya makubwa positively au negatively lakini kamwe hawatafikia Viwango vya Gen Z ya nchi jirani ya Kenya

Samahani lakini Ufipa st 😂
Lengo la Chadema kusema vijana wajitambue kama GEN-Z Wala si maandamano ya vurugu bali ni kuwa na fikra ya kulikomboa taifa katika mambo mbalimbali yenye uelekeo mbaya Kwa kizazi hiki na kijacho. Wala vijana wa Tanganyika hawawezi kuwa na vurugu kama Kenya labda isababishwe na watawala kama juzi.
 
Katk hlo kundi hakuna wasomi siyo mkuu..
Kwahiyo Kwa akili yako machinga na bodaboda hatujasoma si eti? Yaani hatuna akili! Acha dharau haya ni maisha. Una sehemu ya kutuajiri au? Au tubaposubiri ajira tuje kukukaba au? Acha uzwazwa!
 
Kwenda Mbeya kufanya vurugu?! Acheni kupotosha kama ni vurugu ni hapa hapa Dar zingefanyika.

CHADEMA sio Chama cha vurugu acheni kutuzushia.
Walianza kusema Chadema Cha wakristo, wachaga, magaidi na Sasa gen-z. Na bado mtamaliza majina yote Chadema haifi.
 
Back
Top Bottom