CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

Wacha chadema wafanye kazi yao ya kuchochea mapinduzi ya fikra kwa waliowengi.huwezi kumkomboa kifikra mtu mwenye mawazo yakikondoo kwa lugha laini na nyepesi.Watu wakiwa na mawazo chanya,kujitambua na kujua haki zao zakiraia nfipo tutakapoweza kutengeneza taifa lenye wananchi wenye uwezo wakujiamini,kuthubutu,kupambana na kushindana.Nchi bado ina safari ndefu na Jpm ni sehemu tu ya aina ya viongozi waliopata kuhudumu kama rais na kila rais atakuja na aina yake ya uongozi kwahiyo hakuna aliyekomolewa.Cha msingi chadema wasivunje sheria za nchi mengine ni yakawaida sana.
 
Still ur on it again and agai showing ur lack of experience, kipi kina-kuthibitishia umaarufu wake umeshuka?
 
Kila mtu ana wafuasi wake.na ni ujinga kumlinganisha raia wa kawaida tundu lissu na rais wa nchi.Wakati unajua rais ana coverage kubwa kuanzia vyombo vya habari hadi shughuli za chama na serikali.Hao wachache wanaomsikiliza lissu wacha wabaki hivyo hivyo lakini kupitia hao wachache ujumbe wa lissu kwa jamii utaendelea kuwafikia wananchi.
 
Jiwe alikuwa na shida zake binafsi ila kwa maza Pini watapigwa na maisha yatasonga.Jiwe alikuwa anapora pesa,anabambikia kesi,anatosa watu baharini,anateka nk nk.

Maza atafanya kama Rwanda,Uganda,China nk yaani ugomvi uwe kwenye siasa sio kwenye uchumi
 
Ni wapi maandamano yametajwa kua ni fujo kwenye sheria za nchi hii.Au ni uelewa wako mdogo kwenye sheria za nchi.Kama wewe umeumbwa kukaa nakusubiri wengine wakufanyie kalisha makalio chini wenye uwezo wakufanya wafanye.Fanya yako nawao watafanya yao maana hakuna mwenye hati miliki na hii nchi.
 
Malisa ni Mzee yule ujana unaishia miaka 35 tu acheni ujinga hafu 2025 hamtapata hata hao wabunge wa viti maalumu yaani mtaambulia kapa kabisa
 
Tatizo tunaamini kuwa huru ni HISANI ya Mtawala
 
Hao wananchi watatumia njia gani kuidai hiyo katiba?.Ni nani atakayeanzisha hoja ya kukusanya hayo mawazo ya wananchi ili hilo hitaji la katiba lionekane lipo?.Hii ni nchi sio darasa.kwahiyo lazima kuwe na kundi au taasisi mahususi itakayokua chanzo cha hilo vuguvugu.Mabadiliko yoyote yale ndani ya nchi yanategemea makundi kama hayo kwasababu kupitia wao ndo inakua rahisi kueleza hitaji lililopo.na kuna mabadiliko ili yafanyike lazima kuwe na msukumo mkubwa.Kwahiyo kinachofanyika ni kitu sahihi.
 
Ulimsikia lini Samia akisema anamsikiliza MALISA kuliko MBOWE acheni huu ujinga wakuwaza teuzi
 
Swala la Katiba Kila mtu anaejielewa anatakiwa aidai Chadema wameanzisha mwendo tu sasa mkikaa nakudhani Chadema ndio wenye shid na Katiba mmekwama
 
Tathmini hii uliifanya lini?
 
Unataka mbinu gani? Mama alisema msilalamike tu kupayuka, toeni suluhu.....
 
Naunganmkono hoja. Chadrma ni kikundi cha wahuni. Yaan hata jiwe hajapasuka tumbo tayar nchi washaleta fujo.
Kwa kweli kwa hili tuko na mama.

Kwanza katiba si hitaji la wananchi ni hitaji la chadema washinde uchaguzi waende ikulu.

Hatukubali.
 
Mwangwi wa kilio cha uoga wa CCM wazidi kuchekesha, MWE.
 
CDM wenyewe hii agenda ya katiba wanaitaka iwape favor kwa uchaguzi kwanini wasije na agenda zinazogusa wananchi ka umaskini, uchumi na swala la ajira kwa vijana ambalo ni tatizo kubwa Hapo wangepata support kubwa kutoka kwa wananchi. Samia kaanza vizuri kabisa na ana support ya wananchi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…