CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli


Kwamba nishafukiwa tufanye hivi, nimekubali kuna jingine?
 
The best comment nimewahi kuiona jf! Salute the Boss
 
Katiba iliyopo inaeleweka kwa wananchi? Katiba ya chama chako si ndiyo hiyo mkiti wako ameichakachua aendelee kuongoza milele na milele, umeshawahi kulalamika humu jinsi katiba yako ilivyochakachuliwa?
 
Naunganmkono hoja. Chadrma ni kikundi cha wahuni. Yaan hata jiwe hajapasuka tumbo tayar nchi washaleta fujo.
Kwa kweli kwa hili tuko na mama.

Kwanza katiba si hitaji la wananchi ni hitaji la chadema washinde uchaguzi waende ikulu.

Hatukubali.
Matusi waliyotoa kwenye hilo kongamano lao hawahitajiki kuungwa mkono na mtanzania yeyote! I used to be on their side, now noooo
 
Mnataka Samia aanzishe mchakato wa katiba now? The world is fkd up, mnadhani katiba ni muhimu kuliko chochote now? Fk you guys
 
Ni haki yake kufanya hivyo. Anaweza kuwaomba ushari wakina Cecil Mwambe. Na kabla hajahama CCM aombe ushauri wale wote waliowahi kugombea uenyekiti dhidi ya incumbent Mwenyekiti wa taifa.

Amandla...
Your head is fkd up, nafikiri jpm mwingine inabidi aje kuirudisha hii nchi kwenye misingi yake, stupid guys like you should be put out of your misery
 
Your head is fkd up, nafikiri jpm mwingine inabidi aje kuirudisha hii nchi kwenye misingi yake, stupid guys like you should be put out of your misery
Misingi yake ipi? Hiyo ya kutaka watu wajinga kama mimi wauawe?

Amandla...
 
Majitu majinga utayajua tu. Kazi kujadili watu na majina yao badala ya kujadili core issues!
 
Hao watoto wa juzi juzi wasikubabaishe. Harakati za kudai Katiba Mpya zipo tangu enzi za Mwl. Nyerere tena ndani ya chama kimoja!!______
 
Wanachokidai sasa ni ilitakiwa wadai miaka 10 au 20 nyuma.
 
Katiba mpya itakuja siku serikali ikiamua, not you mfs
Usitukane punguza hisia kali na mihemko.!

Katiba mpya ni takwa la wananchi serikali ni kwa ajili ya wananchi na imeundwa na wananchi. Kwaio wananchi tunademand katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…