CHADEMA hii ndio dhana nzima ya uhuru wa mahakama. Tumeshuhudia Mahita akipigwa maswali, tusipanic

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.

Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.

Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po.

Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
 
Mahita jembe naona mechi bila bila pale
 
Una ugonjwa wa akili unaojulikana Kama personality disorder! Muone therapist kabla haujakomaa na kuwa sugu! Haiwezekani uukombie upande unayoiabudu na kuusujudu yaani kule Kwa mbogamboga kisa mmeanza kuona movie yenu mliyocheza inafanya vibaya sokoni! Kazeni shingo TU Kama mlivyozoea mwishoni zitavunjika!
 
Zaidi yafaa kujua Mungu hana upendeleo.
 
Nchi ya ajabu sana hii.
Kama kafanya ugaidi kweli si mumpe miaka tu,hajafanya muachieni.
Kesi nenda rudi zimezidi upumbavu mtupu na hela lazima zinapigwa tu hapo.
Hamna kesi
 
Sasa kama hakuna kuna nn,,
 

Mkuu Unataka kusema hapo ndiyo mwisho wa uwezo wako wa kufikili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…