CHADEMA HII YA LISSU NI NYEPESI SANA KWA CCM KULIKO HATA YA MBOWE

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Angalikuwa mwenyekiti Mbowe Muda kama huu tungalikuwa tunaona bony yai akiichangamsha maada zakd za utekaji ktk X.
Hata mdude angalikuwa yupo active muda huu, lkn hivi sasa mada zake zinamtetea Dr slaa tu
hivi sasa wengi wa vijana wa cdm muda wote wanamsifia mwenyekiti wao tu badala ya kuja na hoja juu ya hoja dhidi ya ccm.
Ccm kwa team lissu watapata mteremko mkubwa kuliko wakati wa Mbowe
 
Kama Israel kwa Hamas eeeeeh!
 
Chadema ya Lissu haina tofauti na CHAUMA ya Mzee Hashim Rungwe!
 
Wewe kwa mawazo yako haya una tofauti gani na Mzee wa Kulalalala Wasira??
 
Narudia; ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo.
Jinsi ya kupona maumivu ya uchaguzi
= Kuamini CDM ni kubwa kuliko mgombea yeyote
=Kuamini kila mwana chama mwenye akili timamu anaweza kugombea
=Kuamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi =Kuamini kuwa Mbowe kwa sasa sio mwenyekiti wa CDM na kuunga mkono na juhudi za mwenyekiti TL
=KUAMINI TUNDU ANTIPAS LISSU NI MWENYEKITI NA YEYE ATAWALE MIAKA 20 KAMA KATIBA IKIENDELEA KUWA YA MBOWE.
 
Subiri mkuu. Makubwa yanakuja, muulize musiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…