Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa hivi hoja yao ni'' kazikwe naye chato''Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.
Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.
Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Mkuu jikite kwenye mada acha uhuni. Upinzani ni watchdog dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Wakati ule magufuli anahujumu upinzani ulifurahi kwa sababu ulikua mezani unalamba asali.Mkuu jikite kwenye mada acha uhuni. Upinzani ni watchdog dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Chadema si chama pinzani hapa Tanzania......wao wako bize kula ruzuku tu na kutafutiana kashfa kila kukichaTunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.
Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.
Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Hawana maana kabisa hao CHADEMA, wamebakiwa na kudai Katiba mpya tu eti Watanzania wanataka Katiba mpya, waseme wao ndo wanaitaka, sisi Watanzania wa hali ya chini tunahitaji kuboreshewa maisha na si Katiba mpya. Leo hii TRA wanatoa takwimu za uongo za makusanyo ya kodi lakini hatuwasikii akina Zitto kabwe kutoka hadharani na kukosoa upotoshaji wa TRA, wameridhika na huyo Rais wa kuifungua nchi na wao wanafaidika na kauli hiyo maana ndo wahalifu wenyewe. Haiwezekani leo hii TRA watoe takwimu za makusanyo makubwa ya kodi wakati ukwepaji wa kodi kwa sasa ni mkubwa sana kwa Wafanyabiashara na wale Maajenti wa TRA waliokuwa wanasaidia kukwepesha kodi wakahamishiwa Kilwa, Mtwara leo hii wamerudishwa kwenye Majiji wanaendeleza uharamia wao.Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.
Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.
Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Ruzuku ipi?Chadema si chama pinzani hapa Tanzania......wao wako bize kula ruzuku tu na kutafutiana kashfa kila kukicha
Upinzani ilijihujumu yenyewe kwa kuacha kusimamia maslai ya taifa na kuanza kutetea mafisadi na kutumika na kina rostam na GSM na familia ya kikwete pamoja na singasinga hivyo msimtafute mchawi ...kwa kuwa mchawi weni is your own ass holeDhalimu alipokuwa anahujumu upinzani uliona sawa, sasa saa hii sijui unamlilia nani.
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi. Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake. Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba. Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Uchawi uko hapa; uhuru wa TUME ya UchaguziUpinzani ilijiujumu yenyewe kwa kuacha kusimamia maslai ya taifa na kuanza kutetea mafisadi na kutumika na kina rostam na GSM na familia ya kikwete pamoja na singasinga hivyo msimtafute mchawi ...kwa kuwa mchawi weni is your own ass hole
Wafanyakazi wa umma na CCM ni kopo na mfuniko.Vijana wa CCM acheni kutumia madawa ya kulevya[emoji116][emoji1782][emoji1782][emoji1782]
View attachment 2212180
Anaejua KINANA yupo mkoa Gani Kwa sasa anijuze😃😃😃😃😃Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.
Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.
Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.
Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Mkuu sijakuona kule kea umiza kichwa Recrato,Legasto na Financo hebu Nenda tumezidiwa na kibano cha code!!Anaejua KINANA yupo mkoa Gani Kwa sasa anijuze😃😃😃😃😃
Mkuu sijakuona kule kea umiza kichwa Recrato,Legasto na Financo hebu Nenda tumezidiwa na kibano cha code!!
Turudie kusoma Zaid na Zaid, Kwa uandishi Ule hamna ndoto pale. Bt ujumbe wa KATIBA mpya uko wazi.Mkuu sijakuona kule kea umiza kichwa Recrato,Legasto na Financo hebu Nenda tumezidiwa na kibano cha code!!
Uko wazi sawa!siku tisini na NYINGINE mia themanini!!je plan ya FDR imekufa!!? Imeahirishwa au ipo hewani kama KAWAIDA!!?kapitie pia KWA yoga uone kama kuna la plan ka 2025 to 2030 ka ushungi kuendelea kuwepo kitalani na kuathiri maono ya FDR kuchukua kitala Mwakani!!!pitia episode MBILI za jana saa MOJA na nne usiku za yoga!!!halafu uje na mrejesho wa ideas!!Turudie kusoma Zaid na Zaid, Kwa uandishi Ule hamna ndoto pale. Bt ujumbe wa KATIBA mpya uko wazi.
Roho zinawauma CDM kukaa kimya?Kwa nini iwe hivyo? Huu ndio ukweli kamanda
Kama wewe ni mtanzania halisi tutoe mambo ya vyama sababu siyo kila Mtanzania anacha hata Simba na Yanga hawana mashabiki wote nchi nzima. Wewe hata ungekuwa msukuma wa wapi ungeancha kupanda ndege Mwanza uende chato ambapo lami inaishia mjini tu.Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.