CHADEMA hoi bin taaban, wamekosa hoja ya kuikosoa CCM hawajulikani wapo upande gani kama ni wapinzani au sio wapinzani

Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.

Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.

Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.

Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Sa hivi hoja yao ni'' kazikwe naye chato''
 
Nani yuko kwenye lindo la dhalimu hapo chattle leo? Au umepewa jukumu la kucheck cdm watawabeba vipi sukuma gang dhidi ya msoga line?
Mkuu jikite kwenye mada acha uhuni. Upinzani ni watchdog dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
 
Wakati ule magufuli anahujumu upinzani ulifurahi kwa sababu ulikua mezani unalamba asali.
Sasa hivi kibao kimegeuka unakuja na hoja kwamba upinzani ni watchdog dhidi ya serikali.
Sukuma gang Kwisha habari yenu
 
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.

Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.

Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.

Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Chadema si chama pinzani hapa Tanzania......wao wako bize kula ruzuku tu na kutafutiana kashfa kila kukicha
 
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.

Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.

Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.

Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Hawana maana kabisa hao CHADEMA, wamebakiwa na kudai Katiba mpya tu eti Watanzania wanataka Katiba mpya, waseme wao ndo wanaitaka, sisi Watanzania wa hali ya chini tunahitaji kuboreshewa maisha na si Katiba mpya. Leo hii TRA wanatoa takwimu za uongo za makusanyo ya kodi lakini hatuwasikii akina Zitto kabwe kutoka hadharani na kukosoa upotoshaji wa TRA, wameridhika na huyo Rais wa kuifungua nchi na wao wanafaidika na kauli hiyo maana ndo wahalifu wenyewe. Haiwezekani leo hii TRA watoe takwimu za makusanyo makubwa ya kodi wakati ukwepaji wa kodi kwa sasa ni mkubwa sana kwa Wafanyabiashara na wale Maajenti wa TRA waliokuwa wanasaidia kukwepesha kodi wakahamishiwa Kilwa, Mtwara leo hii wamerudishwa kwenye Majiji wanaendeleza uharamia wao.
 
Dhalimu alipokuwa anahujumu upinzani uliona sawa, sasa saa hii sijui unamlilia nani.
Upinzani ilijihujumu yenyewe kwa kuacha kusimamia maslai ya taifa na kuanza kutetea mafisadi na kutumika na kina rostam na GSM na familia ya kikwete pamoja na singasinga hivyo msimtafute mchawi ...kwa kuwa mchawi weni is your own ass hole
 
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi. Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake. Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba. Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.

kinachofurahisha Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap,

Wakateka watu, wakawaua ,wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi,

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote

#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
 
Upinzani ilijiujumu yenyewe kwa kuacha kusimamia maslai ya taifa na kuanza kutetea mafisadi na kutumika na kina rostam na GSM na familia ya kikwete pamoja na singasinga hivyo msimtafute mchawi ...kwa kuwa mchawi weni is your own ass hole
Uchawi uko hapa; uhuru wa TUME ya Uchaguzi

1651733900223.png

1651733780284.png
 
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.

Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.

Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.

Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Anaejua KINANA yupo mkoa Gani Kwa sasa anijuze😃😃😃😃😃
 
Turudie kusoma Zaid na Zaid, Kwa uandishi Ule hamna ndoto pale. Bt ujumbe wa KATIBA mpya uko wazi.
Uko wazi sawa!siku tisini na NYINGINE mia themanini!!je plan ya FDR imekufa!!? Imeahirishwa au ipo hewani kama KAWAIDA!!?kapitie pia KWA yoga uone kama kuna la plan ka 2025 to 2030 ka ushungi kuendelea kuwepo kitalani na kuathiri maono ya FDR kuchukua kitala Mwakani!!!pitia episode MBILI za jana saa MOJA na nne usiku za yoga!!!halafu uje na mrejesho wa ideas!!
 
Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi.

Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake.

Wamebaki kukomalia habari na dosari zilizotokea wakati hayati JPM yupo madarakani huku wakikomaaa kana kwamba zitawasaidia maana ni ishu za huko nyuma kabisa kwa sasa haziwezi kuwabeba.

Mf uwanja wa ndege Chato unawauma sana kana kwamba sio mali ya umma.
Kama wewe ni mtanzania halisi tutoe mambo ya vyama sababu siyo kila Mtanzania anacha hata Simba na Yanga hawana mashabiki wote nchi nzima. Wewe hata ungekuwa msukuma wa wapi ungeancha kupanda ndege Mwanza uende chato ambapo lami inaishia mjini tu.

Kwanini watu mnalala macho kuangalia chadema inasema nini au itafanya nini? Chadema haina serikali wala jeshi na ndiyo kila kitu kinachofanywa na kuisha, tunaaminishwa ni juhudi za serikali ya CCM kufuata ilani zake za uchaguzi. Anapochangia mpinzani hata atoe sehemu ya mali yake huwa jina linalotakiwa kuwa kwenye bango ni "katika kusaidia juhudi za chama cha mapinduzi."
 
Back
Top Bottom