Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Misaada ya kibinadamu ilitolewa na CCM kwa nguvu zote na kwa moyo wote ,.ambapo vitu kama sukari, unga,mafuta ya kula,sabuni,maji ya kunywa, magodoro n.k.vilitolewa na kupewa wahangaTueleze jinsi Gani Wahanga wa tetemeko kagera walivyojisitiri kwenye miundombinu!!!
Unaweza kugeuza miundombinu ya barabara kuwa chakula ukala?
Ukisha kula una kuwa umepata nyumba ya kukaa au kuishi?Tueleze jinsi Gani Wahanga wa tetemeko kagera walivyojisitiri kwenye miundombinu!!!
Unaweza kugeuza miundombinu ya barabara kuwa chakula ukala?
Acha ujinga mkuu.kwa hiyo unataka nisihoji ufujaji wa pesa unaofanywa na CHADEMA linapokuja suala la pesa wanapokuwa wamechangiwa pesa.haya embu nijibu wewe kuwa pesa za join the chain Zilipatikana kiasi gani? Zipo wapi? Zilifanya kazi gani?Punguza ujuaji wa kureply,si lazima kila post ujibu na wewe.Mengine uachage ya kupite kama huna cha maana cha kuchangia.
Kwahiyo mkaona Badala ya michango kuwajengea nyumba zao, mkaenda kujenga barabara.Ukisha kula una kuwa umepata nyumba ya kukaa au kuishi?
Hatujibu maswali ya Kijinga , Join The Chain ni michango ya Chadema , ambao wanaye Katibu Mkuu na Baraza la Wadhamini la Chama , hao ndio walinzi wa mali zote za Chama , sasa siyo hizo tu , hawa wanalinda hata Ruzuku ya Chama , sasa huyu mjinga Mwashambwa haya yote anayajua lakini anataka kutupotezea muda tuKuna MDAU hapo ameulizia pesa au michango ya join the chain ilipo mpaka sasa!
Ebu mjibu tafadhari
Umesahau kuandika namba zako hapo chini ya comment[emoji16][emoji16]Kwa hiyo ndio mnakumbuka saizi?halafu pia watu wanataka wajuwe usalama wa pesa zao utakuwaje maana watu bado wanakumbuka na kumbukumbu nzuri juu ya upigaji wa pesa za join the chain ambazo mpaka sasa haijulikani Zilipatikana kiasi gani wala haijulikani zipo wapi au zilifanya kazi gani. Watu hawana imani na CHADEMA linapokuja suala la hela . Chadema ni waroho na walafi sana kwenye hela na huwa hawana huruma kutumia fursa kwa ajili ya kutafuna kama mchwa.
Kwani hujaziona kule mgombani mkuu.Kuna MDAU hapo ameulizia pesa au michango ya join the chain ilipo mpaka sasa!
Ebu mjibu tafadhari
Pesa cash za Wahanga wa tetemeko kagera,mlipeleka wapi?Misaada ya kibinadamu ilitolewa na CCM kwa nguvu zote na kwa moyo wote ,.ambapo vitu kama sukari, unga,mafuta ya kula,sabuni,maji ya kunywa, magodoro n.k.vilitolewa na kupewa wahanga
Nipeni maua yanguTaarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang , ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali , hata kama siyo kwa 100%
Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU , Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa , hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa .
View attachment 2834645
Lakini hiyo si ndio demokrasia ndugu......????Punguza ujuaji wa kureply,si lazima kila post ujibu na wewe.Mengine uachage ya kupite kama huna cha maana cha kuchangia.
Ni kweli upo sahihi kwa muktadha wa 'demokrasia' lakini poiny yangu ni hii,hakuna maana ya kila kitu ukachangia hata pale unapokuwa huna cha maana cha kuchangia.Lakini hiyo si ndio demokrasia ndugu......????
Ni kama kutoa Sadaka ya Kuwasaidia IsraelIla Hiyo picha ingewekwa nyingine kusadifisha tukio lenyewe na logo ya Chama nk
Nawaombea uaminifu na mafanikio katika hili....Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang , ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali , hata kama siyo kwa 100%
Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU , Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa , hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa .
View attachment 2834645
Nataka unijibu swali pesa zilipatikana shilingi ngapi kupitia join the chain? Maana hata odemba alipomuuliza lissu juu ya pesa hizo naye aliishia kutoa macho tu. Sasa nataka kujua kiasi gani kilipatikana ? Kilifanya kazi gani? Kwanini hamkuleta mrejesho? Sasa kama pesa za join the chain hazina mrejesho wala kujulikana zilikusanywa shilingi ngapi na kufanya kazi gani mnaanzaje kuanzisha kampeni ya michango mingine wakati mmeshindwa kuwa waaminifu na wawazii kwa zoezi la kwanza?Hatujibu maswali ya Kijinga , Join The Chain ni michango ya Chadema , ambao wanaye Katibu Mkuu na Baraza la Wadhamini la Chama , hao ndio walinzi wa mali zote za Chama , sasa siyo hizo tu , hawa wanalinda hata Ruzuku ya Chama , sasa huyu mjinga Mwashambwa haya yote anayajua lakini anataka kutupotezea muda tu
Alizila jJiwe,jijwe kafa na mengi ibilis yulePesa za michango tetemeko kule kagera, mlipeleka wapi baada ya CCM kutuchangisha?
Kwa CHADEMA Hakunaga uaminifu katika suala linalohusu pesa.kama huamini basi subiri uone kitakachotokea. Au waambie walipata shilingi ngapi kupitia join the chain? Pesa hizo zipo wapi mpaka sasa? Kwanini waanzishe zoezi la kuchangisha michango mingine wakati ile tu ya kwanza ilishaleta sintofahamu na giza kwa wanachama kwakushindwa kuelewa kiasi kilichopatikana?Nawaombea uaminifu na mafanikio katika hili....
Mwenyezi Mungu awaepushe matokeo ya hili jambo yasiwagawanye au kuibua mambo mengine ya huko nyuma.
Awajaalie Umoja, Msahikamano, ustahimilivu, kuaminiana na subra miongoni mwenu...
Kwa niaba yangu mwenyewe nawatakia kila la kheri...
Angalau wametusikia, maana tumewasema sana!Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang , ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali , hata kama siyo kwa 100%
Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU , Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa , hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa .
View attachment 2834698
Kwanza walikuwa wanaangalia Mahitaji , bila upembuzi yakinifu huwezi kufanikisha jamboAngalau wametusikia, maana tumewasema sana!
Upembuzi yakinifu wakati hamko site? Kwanza hiyo akaunti ya kuchangia ilitakiwa iwe ya Chadema Wilaya ya Hanang. Ingelipendeza sana.Kwanza walikuwa wanaangalia Mahitaji , bila upembuzi yakinifu huwezi kufanikisha jambo
Timu ya Chadema iko Hanang nusu saa baada ya TukioUpembuzi yakinifu wakati hamko site? Kwanza hiyo akaunti ya kuchangia ilitakiwa iwe ya Chadema Wilaya ya Hanang. Ingelipendeza sana.