CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

Ni kweli upo sahihi kwa muktadha wa 'demokrasia' lakini poiny yangu ni hii,hakuna maana ya kila kitu ukachangia hata pale unapokuwa huna cha maana cha kuchangia.
Na hapo ndipo unapohitaji ukomavu wa kidemokrasia kwa kuyavumilia Yale yasiyokupendeza kwa wengine ndio ukomavu wenyewe maana penye wengi pana mengi......
 
Chadema acheni upumbavu
20231206_144636.jpg
 
Hatujibu maswali ya Kijinga , Join The Chain ni michango ya Chadema , ambao wanaye Katibu Mkuu na Baraza la Wadhamini la Chama , hao ndio walinzi wa mali zote za Chama , sasa siyo hizo tu , hawa wanalinda hata Ruzuku ya Chama , sasa huyu mjinga Mwashambwa haya yote anayajua lakini anataka kutupotezea muda tu
Kwan lengo la join the chain na pesa alizochangisha Lema zilikuwa na lengo gani.?
 
Tunahitaji vitu kama hivi na sio tena kuwaumiza wananchi kisa tamaa zenu za kipumbavu
20231205_095714.jpg
 
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang , ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali , hata kama siyo kwa 100%

Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU , Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa , hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa .

View attachment 2834698
Hicho ndio kitengo chenu chadema!
 
Kwanza walikuwa wanaangalia Mahitaji , bila upembuzi yakinifu huwezi kufanikisha jambo
Kwahy mmeangalia mahitaji then mkafanya upembuzi yakinifu na mkahitimisha Vp.?
Ndo mmeamua kuja kuchangisha umma.?
Mipango bila pesa ni upumbavu, chadema achane upumbavu.
 
Wazee wa fursa join the chain ya hanang hiki chama zao ni kuchangisha na michango...... hapo huo upigaji
 
Kwa hiyo ndio mnakumbuka saizi?halafu pia watu wanataka wajuwe usalama wa pesa zao utakuwaje maana watu bado wanakumbuka na kumbukumbu nzuri juu ya upigaji wa pesa za join the chain ambazo mpaka sasa haijulikani Zilipatikana kiasi gani wala haijulikani zipo wapi au zilifanya kazi gani. Watu hawana imani na CHADEMA linapokuja suala la hela . Chadema ni waroho na walafi sana kwenye hela na huwa hawana huruma kutumia fursa kwa ajili ya kutafuna kama mchwa.
We umechangia Sh ngapi chawa.

Weka hapa risiti ya ulichotuma kwa hiyo namba unayoiweka hapa kila sio kubwatuka hapa au ile namba huwa ni ya kuombea pesa?
 
Binafsi ngoja nikachangie kwenye mfuko wa serekali hawa jamaa huwa siwaamini kabisa 😁
Hapana, usichangie popote pale. Upigaji upo kila mahali ht kwa ccm/serikali. Kama huna namna ya kumpata muathirika moja kwa moja bc tulia na pesa yako tuu.
 
Back
Top Bottom