CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

Wazee wa harambee, mwisho wa siku kapu lina pigwa 10% na mmiliki

Ni utani tu, ni jambo zuri kila mtu atumie ushawishi nguvu akili na maarifa kufanikisha swala hili kwa watu wa hanang - katesh
Wanagawana kila mtu anaenda kwao, huyu Kenya yule Ubelgiji. Bado wanabaki Sheri wa Makunduchi na Mwalimu wa Kinondoni, hawa hawana pa kwenda. Hawapati kitu baadaye wanaambiwa ni Wazanzibari wameiba bandali zetu wanawapa Waalabu myaka mya.
 
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang , ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali , hata kama siyo kwa 100%

Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU , Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa , hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa .

View attachment 2834698
Kuleni za covid 19 zinawatosha!
 
Mwenyekiti aseme fungu la ruzuku alipeleka wapi kwanza 🤣🤣🤣🤣
Chama cha wachaga 🤣🤣🤣
 
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang , ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali , hata kama siyo kwa 100%

Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU , Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa , hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa .

View attachment 2834698
Wachagadema wameona fursa na wanaitumia ipasavyo.
 
Wazee wa harambee, mwisho wa siku kapu lina pigwa 10% na mmiliki

Ni utani tu, ni jambo zuri kila mtu atumie ushawishi nguvu akili na maarifa kufanikisha swala hili kwa watu wa hanang - katesh
Baada ya Chadema kutangaza harambee ya Dunia , Marekani imejitokeza na kutoa mchango wake .

Mungu Wabariki Wazungu
 
Mbowe kuondoa mkanganyiko kila chama chako kinapokusanya michango mbalimbali njoo tupe feedback ya michango yetu kwa ajili ya waanga wa Hanang.

Ili kuondoa tetesi kwamba pesa zimeshaliwa na wajanja wa HQ.
 
Mbowe siyo Mhasibu wa Chadema
 
Hii nchi Kuna wahubiri mamilionea wanasisitiza tutoe sijawaona wakijitoa kuchangia hanang wako kimyaaa hawana aibu!
Cc lusekelo,jodevi,Musa,kakobe,gwajima,chaneli,... Tuwatajee hapa labda wataguswa
 
Kwenye michango CDM wanatia aibu! Kuna usamjo samjo mwingi kwenye pesa za michango hapo ufipa,ni aibu chama kinachotaka kushika dola kushindwa kutoa ripoti ya michango wanayokusanya.
 
Nataka unijibu swali pesa zilipatikana shilingi ngapi kupitia join the chain? Maana hata odemba alipomuuliza lissu juu ya pesa hizo naye aliishia kutoa macho tu. Sasa nataka kujua kiasi gani kilipatikana ? Kilifanya kazi gani? Kwanini hamkuleta mrejesho? Sasa kama pesa za join the chain hazina mrejesho wala kujulikana zilikusanywa shilingi ngapi na kufanya kazi gani mnaanzaje kuanzisha kampeni ya michango mingine wakati mmeshindwa kuwa waaminifu na wawazii kwa zoezi la kwanza?

Nani atakuwa na uhakika kama hizo hela mnazitaka zichangie hazitaleta giza kwa kupigwa tena? Nani msimamizi wa miamala itakayokuwa inaingia? Uaminifu wake upoje ukilinganisha na yule wa awali aliyekumbatia pesa za join the chain na kubaki siri yake? Kwanini linapokuja suala la pesa CHADEMA mnakuwa na longo longo nyingi?
Pesa za tetemeko la kagera zilichangwa shilingi ngapi? Na zilifanyia nini?
 
Back
Top Bottom