CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

Ni kweli upo sahihi kwa muktadha wa 'demokrasia' lakini poiny yangu ni hii,hakuna maana ya kila kitu ukachangia hata pale unapokuwa huna cha maana cha kuchangia.
Na hapo ndipo unapohitaji ukomavu wa kidemokrasia kwa kuyavumilia Yale yasiyokupendeza kwa wengine ndio ukomavu wenyewe maana penye wengi pana mengi......
 
Kwan lengo la join the chain na pesa alizochangisha Lema zilikuwa na lengo gani.?
 
Tunahitaji vitu kama hivi na sio tena kuwaumiza wananchi kisa tamaa zenu za kipumbavu
 
Hicho ndio kitengo chenu chadema!
 
Kwanza walikuwa wanaangalia Mahitaji , bila upembuzi yakinifu huwezi kufanikisha jambo
Kwahy mmeangalia mahitaji then mkafanya upembuzi yakinifu na mkahitimisha Vp.?
Ndo mmeamua kuja kuchangisha umma.?
Mipango bila pesa ni upumbavu, chadema achane upumbavu.
 
Wazee wa fursa join the chain ya hanang hiki chama zao ni kuchangisha na michango...... hapo huo upigaji
 
We umechangia Sh ngapi chawa.

Weka hapa risiti ya ulichotuma kwa hiyo namba unayoiweka hapa kila sio kubwatuka hapa au ile namba huwa ni ya kuombea pesa?
 
Binafsi ngoja nikachangie kwenye mfuko wa serekali hawa jamaa huwa siwaamini kabisa 😁
Hapana, usichangie popote pale. Upigaji upo kila mahali ht kwa ccm/serikali. Kama huna namna ya kumpata muathirika moja kwa moja bc tulia na pesa yako tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…