CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

Wazee wa harambee, mwisho wa siku kapu lina pigwa 10% na mmiliki

Ni utani tu, ni jambo zuri kila mtu atumie ushawishi nguvu akili na maarifa kufanikisha swala hili kwa watu wa hanang - katesh
Wanagawana kila mtu anaenda kwao, huyu Kenya yule Ubelgiji. Bado wanabaki Sheri wa Makunduchi na Mwalimu wa Kinondoni, hawa hawana pa kwenda. Hawapati kitu baadaye wanaambiwa ni Wazanzibari wameiba bandali zetu wanawapa Waalabu myaka mya.
 
Kuleni za covid 19 zinawatosha!
 
Mwenyekiti aseme fungu la ruzuku alipeleka wapi kwanza 🤣🤣🤣🤣
Chama cha wachaga 🤣🤣🤣
 
Wachagadema wameona fursa na wanaitumia ipasavyo.
 
Wazee wa harambee, mwisho wa siku kapu lina pigwa 10% na mmiliki

Ni utani tu, ni jambo zuri kila mtu atumie ushawishi nguvu akili na maarifa kufanikisha swala hili kwa watu wa hanang - katesh
Baada ya Chadema kutangaza harambee ya Dunia , Marekani imejitokeza na kutoa mchango wake .

Mungu Wabariki Wazungu
 
Mbowe kuondoa mkanganyiko kila chama chako kinapokusanya michango mbalimbali njoo tupe feedback ya michango yetu kwa ajili ya waanga wa Hanang.

Ili kuondoa tetesi kwamba pesa zimeshaliwa na wajanja wa HQ.
 
Mbowe siyo Mhasibu wa Chadema
 
Hii nchi Kuna wahubiri mamilionea wanasisitiza tutoe sijawaona wakijitoa kuchangia hanang wako kimyaaa hawana aibu!
Cc lusekelo,jodevi,Musa,kakobe,gwajima,chaneli,... Tuwatajee hapa labda wataguswa
 
Kwenye michango CDM wanatia aibu! Kuna usamjo samjo mwingi kwenye pesa za michango hapo ufipa,ni aibu chama kinachotaka kushika dola kushindwa kutoa ripoti ya michango wanayokusanya.
 
Pesa za tetemeko la kagera zilichangwa shilingi ngapi? Na zilifanyia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…