escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Kina Suzan Kiwanga, Devotha Minja na Catherine Ruge waanze kupasha.Chadema hata siku moja haifanyi maamuzi yake ili yafanane na yale ya maccm.
Kina Suzan Kiwanga, Devotha Minja na Catherine Ruge waanze kupasha.
2025 tunamtaka mwanamama tena.Afadhali Husen Mwibyi mara mia kuliko huyu mama
Sasa hao CCM watapambanaje wenyewe kwa wenyewe.Halima anatosha😋😋😋
Hussein ana quality gani?Samia mwenyewe haba qualities za urais kama huseen mwinyi
Mfumo dume tu.Hussein ana quality gani?
Hahahaaaa........ hahahaaaa...... Ni zamu ya akina mama!Itabidi Lisu afanyiwe opresheni ya kuweka matiti na daktari huko ulaya alikojichimbia.
Kina Suzan Kiwanga, Devotha Minja na Catherine Ruge waanze kupasha.
Usawa wa kijinsia ni agenda ya kidunia. Tumuunge mkono mama kuhakikisha 50/50 inapatikana harakaKutafuta uhalali wa kisiasa kwa kutumia kabila lako ni Ubaguzi, kutafuta uhalali wa kisiasa kwa kutumia dini yako ni ubaguzi. Kutafuta uhalali wa kisiasa kwa kutumia maumbile yako ni ubaguzi. Na dhambi ya ubaguzi dawa yake ni kukemewa kwa nguvu na kulaaniwa.
SafiChadema hata siku moja haifanyi maamuzi yake ili yafanane na yale ya maccm.
Usawa wa kijinsia ni agenda ya kidunia. Tumuunge mkono mama kuhakikisha 50/50 inapatikana haraka
Usawa wa kijinsia ni agenda ya kidunia. Tumuunge mkono mama kuhakikisha 50/50 inapatikana haraka
Sijapinga usawa wa kijinsia.Napinga Samia kusema kuwa atagombea urais mwaka 2025 kwa sababu yeye ni mwanamke.Usawa wa kijinsia ni agenda ya kidunia. Tumuunge mkono mama kuhakikisha 50/50 inapatikana haraka