Ujinga tu, cdm wanatanguliza ajenda za kitaifa kwanza alafu wagombea baadayeBaada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini.
Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
Mgombea anaweza kubebe agenda za kitaifa ndo anakuwa mgombea,
hayo mambo ya jinsia na ukabila peleka ccm