CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

2016 dhalimu magufuli alikuwa anakubalika kwa 96% 2 years later akaporomoka hadi 55% AKANUNA!!!! Na kumbambikia kesi Eyakuze kwamba si Mtanzania. 41% drop!!!! Ndani ya miaka miwili tu!!!

Aliwateka WAPUMBAVU tu!!! Wasiojitambua.

Huyo dhalimu alianza kuharibu 2016 kwa kuhamisha pesa zote za Serikali kutoka mabenki ya biashara na kupeleka BoT. Kitu ambacho Lawrence Mafuru alikipinga na matokeo yake alitumbuliwa. Mabenki yakawa hayana pesa hivyo yakaacha kutoa mikopo ya aina yoyote ile na matokeo yake uchumi ukaanza KUPOROMOKA kwa kasi ya KUTISHA. Dikteta na dhalimu hawezi kufanya come back yoyote na alijua kama hapendwi unadhani kwanini alikuwa analindwa kama yuko KUNDUZ Afghanistan?
Huna USHAHIDI wa kukubalika kwa dhalimu magufuli kwa 80% plus ACHA UONGO wa kutuwekea namba za kutoa kichwani mwako!!! Akubalike kwa 80% + halafu APORE uchaguzi!?
😳😳😳😳
 
Nakuwekea namba bado unazikimbia unataka data zipi tena zaidi ya ushahidi wa wizi mkubwa wa kura nchi nzima za Maidiwani, Wabunge na Urais? Data zipi tena zaidi ya watu walipigwa hadi kutiwa vilema na wengine kuuawa? Mtu anayekubalika kwa 80% kwanini APORE uchaguzi badala ya kushinda kihalali? Mtu anayependwa sana kwanini AHOFIE uchaguzi huru kupitia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi!? Acha kuandika ujinga.
Mkuu naamini ujua hilo, ila unakaza kiume kwa kuwa hakuna data kamili zaid ya za kura 2020,lakini ukweli usioupenda ni kuwa mwishoni mwa 2019-2021 hakuna mtu aliyekuwa anakubalika wala kuwa na ushawishi bongo hii zaidi ya JPM(RIP).
 
Ujinga tu, cdm wanatanguliza ajenda za kitaifa kwanza alafu wagombea baadaye
Mgombea anaweza kubebe agenda za kitaifa ndo anakuwa mgombea,

hayo mambo ya jinsia na ukabila peleka ccm
kwa Lowassa mlitanguliza agenda gani za kitaifa kama sio pesa na ukabila?
 
Angalia ZWAZWA HILI!!! Mimi na fisadi lowassa wapi na wapi!! Kamongo wewe!!!!
Mgombea wako wa Urais unamuita fisadi, CDM ni wapumbavu sana, na mtaendelea kupelekeshwa kila siku, wapuuzi kabisa
 
Nani alikudanganya mimi naunga mkono Fisadi ZWAZWA wewe!? 😳
Mgombea wako wa Urais unamuita fisadi, CDM ni wapumbavu sana, na mtaendelea kupelekeshwa kila siku, wapuuzi kabisa
 
Nani alikudanganya mimi naunga mkono Fisadi ZWAZWA wewe!? 😳
Hili pumbavu lako unalolitetea leo mahakamani ndiye alikuwa anamuunga mkono huyo unayemuita fisadi leo, wajinga kabisa
 
Kwa hiyo Mbowe akimuunga mkono basi nami ni lazima nimuunge mkono pimbi wewe!? Peleka upuuzi wako kwingine taahira wewe!!!

Hili pumbavu lako unalolitetea leo mahakamani ndiye alikuwa anamuunga mkono huyo unayemuita fisadi leo, wajinga kabisa
 
Kwa kuwa babaako anafanya huo upumbavu wa kushikwa makalio yake na wewe alikuwa anakufanyia usidhani kila mtu anafanya huo upuuzi. Nguruwe wewe!!!

Wewe hata Mbowe akikufng unashangilia, jinga kabisa
 
Kwa kuwa babaako anafanya huo upumbavu wa kushikwa makalio yake na wewe alikuwa anakufanyia usidhani kila mtu anafanya huo upuuzi. Nguruwe wewe!!!
Jinga wewe, mfuata mkumbo, 2025 tunawapa Polepole mgombea urais, muendelee na upuuzi wenu, na tutawatandika tena
 
Kwani katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vimeshapatikana?
 
Kwa kuwa babaako anafanya huo upumbavu wa kushikwa makalio yake na wewe alikuwa anakufanyia usidhani kila mtu anafanya huo upuuzi. Nguruwe wewe!!!
Na tutawachapa hadi akili yenu ikae poa, wapuuzi kabisa, tutawachapa 2025, na tutawachapa tena 2030 vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…