ndio siasa zetu zipo hivyo kuna wa maji moto na wa maji baridi.time after time.Shida kubwa ya Lissu ni arrogance, Mbowe hana hiyo, ana unyenyekevu wa kiuongozi
Wajanja tumeshanusa jambo, ila Lissu akitaka kutanua mbavu akaanzishe chama chake, atafukuzwa kama mbwa, hatuwezi kukubali mambo yake ya hovyo..umeambiwa ulikuwa mkutano wa kumkaribisha Lissu nyumbani.
..ndio maana Mbowe kampa Lissu zawadi ya mbuzi kama ishara ya mapokezi.
Dah! Jamaa unaumia hadi tumbo la kuhara linamuuma. Tafuta tu choo ujifiche huko. Mwamba ndo keshafika.Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.
Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa na Zitto waliondoka, Lissu ni nani?
Yaani makamu anafoka jukwaani na uwanja wa ndege kumuulizia Mwenyekiti Yuko wapi?
Mbowe nakuamini, hujawahi kushindwa.
Tunajua Lissu anataka kusajili chama chake Cha Siasa.
Wajanja tumeshanusa jambo, ila Lissu akitaka kutanua mbavu akaanzishe chama chake, atafukuzwa kama mbwa, hatuwezi kukubali mambo yake ya hovyo
Mbuzi!..umeambiwa ulikuwa mkutano wa kumkaribisha Lissu nyumbani.
..ndio maana Mbowe kampa Lissu zawadi ya mbuzi kama ishara ya mapokezi.
Wewe endelea kuumia hadi upasuke.Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.
Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa na Zitto waliondoka, Lissu ni nani?
Yaani makamu anafoka jukwaani na uwanja wa ndege kumuulizia Mwenyekiti Yuko wapi?
Mbowe nakuamini, hujawahi kushindwa.
Tunajua Lissu anataka kusajili chama chake Cha Siasa.
Ndio utajua hujui, Lissu asilete games kwa Mbowe, Mbowe ni profesa wa Siasa, Lissu ni lecturer wa sheria majukwaani, he is not a pure politician, mvue sheria, anabaki mweupeWewe endelea kuumia hadi upasuke.
Kakuambia anaanzisha Chama!
Unateseka mno pole!
Kwenda huko! Mambo ya kijinga kajadilianeni huko Lumumba.Wajanja tumeshanusa jambo, ila Lissu akitaka kutanua mbavu akaanzishe chama chake, atafukuzwa kama mbwa, hatuwezi kukubali mambo yake ya hovyo
Mkuu, Kinembe, kumbuka Leo ilikuwa siku maalum kwa Lissu kurudi nchini, kutoa Salam na kushukuru wananchi kwa kumsupport wakati wa uchaguzi.Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.
Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa na Zitto waliondoka, Lissu ni nani?
Yaani makamu anafoka jukwaani na uwanja wa ndege kumuulizia Mwenyekiti Yuko wapi?
Mbowe nakuamini, hujawahi kushindwa.
Tunajua Lissu anataka kusajili chama chake Cha Siasa.
Ccm bana mpaka mnatia hirumaLazima utaratibu ufuatwe