CHADEMA iheshimu protokali, ni "insubordination" kwa Lissu kuongea muda mwingi wakati Mwenyekiti wa chama yupo. Ugombea Urais ulikoma aliposhindwa

Mchawi mpe mtoto akulelee,

Naamini CDM wameuheshimu ushauri wako wa KIPUUZI.
 
Kwenda huko! Mambo ya kijinga kajadilianeni huko Lumumba.
Hata mkeka wa maDC umetoka leo kwa lengo la kupoteza habari za Lissu na umeshindwa, itakuwa huu upuuzi wako?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kuna habari gani za Lissu mkuu ndio hiyo hiyo ya kurudi bongo tu shighuli zilisimama Dar kwa sababu ya ujio wa Lissu?
 
Wameanza kuparurana mapema sana... waponAni kuruhusiwa ni tego wajimalize
 
Umbeya waachie wanawake!!! Utavalishwa dela!
 
Mjumbe hauwawi!
 
Hiyo ni salamu tu mkuu tayari tumbo la kuhara vp akianza lasimi kupanda jukwaaa
 

Mbona Leo Lisu hajaonge? Mi nimeona anasalimia kwanza wananchi. Siku akiongea sijui utasemaje
 
Mimi napenda ile chadema Asili ,sio Hii anayoleta mbowe ya praise and worship!... #nasimama na NTUNDU ANTIPASS LISSU
 
Mtamaliza theories zote kupandikiza mgogoro Chadema but it won't work. Walijaribu wengi wakashindwa na hata mungu wenu aliyeko motoni sasa hivi alijaribu tena kwa kutumia mabilioni ya kodi zetu na mitutu ya bunduki lakini matokeo yake kafa kibudu na kuiacha Chadema inazidi kuimarika. Hapo Lissu katest microphone tu mnaanza kuweweseka. Rais aliyeamua kuwa na maridhiano na upinzani siyo mjinga. Zama za siasa za visasi na kuhasimiana zimekwenda na yule mwovu aliyeko motoni sasa hivi.
 
Wewe kijana chadema itakutoa kibyongo , hutaiweza , utaandika hadi wanaokulipa wakukatae .

Chadema ni Chama cha Mungu , Shetani alishakishindwa , wewe hutoweza chochote yaani
 
Hakushinda bali yule mwehu alipora na Mungu akampumzisha mapema kuliko matarajio yake
 
Ndio utajua hujui, Lissu asilete games kwa Mbowe, Mbowe ni profesa wa Siasa, Lissu ni lecturer wa sheria majukwaani, he is not a pure politician, mvue sheria, anabaki mweupe

..hiyo ni one-two punch.

..ukitaka siasa yuko mbowe.

..ukitaka sheria yuko lissu.
 
Vp mkuu kwa bandiko hili umelipwa shilingi ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…