CHADEMA iheshimu protokali, ni "insubordination" kwa Lissu kuongea muda mwingi wakati Mwenyekiti wa chama yupo. Ugombea Urais ulikoma aliposhindwa

Wajanja tumeshanusa jambo, ila Lissu akitaka kutanua mbavu akaanzishe chama chake, atafukuzwa kama mbwa, hatuwezi kukubali mambo yake ya hovyo
Hamuwezi kukubali nyie na kina nani ?
 
Tatizo mmezoea huko kwenu kuabudu fikra za mwenyekiti, chadema kila mmoja ana nafasi ya kuzungumza bila kujali cheo chake ndani ya chama
 
Lissu anaamini kwamba yeye ndie msomi na muelewa wa kila jambo!
 
Lissu anaamini kwamba yeye ndie msomi na muelewa wa kila jambo!

..msomi yoyote lazima ajiamini.

..kama hajiamini maana yake hajafuzu.

..Lissu ni mbobezi wa sheria na katiba na ana sababu zote za kuzungumzia masuala hayo kwa kujiamini.
 
Unateseka ukiwa wapi? Take your time
 
Wajanja tumeshanusa jambo, ila Lissu akitaka kutanua mbavu akaanzishe chama chake, atafukuzwa kama mbwa, hatuwezi kukubali mambo yake ya hovyo
Unateseka sana, kila Mara unaanzisha thread ya kuongelea CDM. Hivi huwa unampikia mumeo saa ngapi?
 
Wajanja tumeshanusa jambo, ila Lissu akitaka kutanua mbavu akaanzishe chama chake, atafukuzwa kama mbwa, hatuwezi kukubali mambo yake ya hovyo
Sumu ya kutaka kumuuwa dodoma inakutafuna. Ile damu haitakuacha salama
 
Mkuu, Kinembe, kumbuka Leo ilikuwa siku maalum kwa Lissu kurudi nchini, kutoa Salam na kushukuru wananchi kwa kumsupport wakati wa uchaguzi.

Sioni tatizo ila kama imekuuma sana saga chupa unywe.
Alishiriki kumuua Lisu dodoma huyo Zezeta Sasa moyo unamuhukumu
 
Sasa hivi mmegeuza gear tena Chama sio Mali ya Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…