Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Katika tafiti ya shirika la Twaweza walio fanya miaka kadhaa nyuma,walisema kua wafuasi wengi wa chadema ni vijana wasomi kuanzia miaka 18-40,tofauti na CCM wengi ni wazee na watu wenye elimu ya chini,
Ukiangalia Demographic ya Tanzania,idadi kubwa ya watanzania ni vijana wa miaka 15-35..bahati mbaya vijana hawana mpango wa kupiga kura,na kama tulivyoona huko juu vijana wengi wanavutiwa na Chadema,lakini je wanapiga kura??wanajiandikisha??
Tuige marekani walifanikiwa vipi kuhamasisha vijana kushiriki katika Siasa
Rock the vote Organization
Rock The Vote ni Shirika lisilo la kiserikali lisilo unga mkono UPANDE WOWOTE kisiasa lilianzishwa marekani miaka ya 90,lengo lake kuwahusisha vijana kwenye mchakato wa Uchaguzi,kuhamisha kujiandikisha kwa wapiga kura wenye Miaka 18-24,Kuwapa Elimu na kuwahamasisha kupiga kura..
Shirika hili mbinu inayotumia kupata attention ya Vijana ni POP CULTURE (mambo yanayotrend kwa wakati husika),MUZIKI,MITANDAO YA KIJAMII na INFLUENCERS wa mitandaoni kusambaza ujumbe kupush Agenda na kuhakikisha kizazi Kipya (GenZ) kinakua na sauti katika kuunda Sera
Mafanikio:
Shirika lilipoanzishwa tu,kupitia kampeni zake kwa mara ya kwanza marekani ilisajili vijana wengi sana kwenye daftari la uchaguzi,na wapiga kura vijana wa miaka 18-24 waliongezeka mara nne zaidi,vijana hawa kabla hawakua na mawazo yeyote ya Habari za siasa..
Kampeni za mitandaoni
Kupitia tiktok,Instagram, twitter and so, shirika limefikia mamilion ya vijana kufikisha ujumbe na elimu ya umuhimu wa vijana kushiriki katika uchaguzi..
Sheria za kupiga kura:
Shirika hili limepambana sana kurahisisha sheria za kupiga kura ili isiwe ngumu kwa vijana kupiga kura au kujiandikisha kupiga kura, mfano Kujiandikisha ONLINE ,
Bill Clinton anasema shirika hili lilibadili hali ya kisiasa mwaka 1992 na kuleta turnover kubwa katika uchaguzi wa Rais..na kufanya aingie ikulu..