Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
sawa nani atakuwa muanzilishi? Pia kumbuka mtaji wa ccm ni kuwafanya watanganyika kuwa wajinga ili waendelee kutawala wanavotaka. Sasa ikionekana kuna watu wanatusanua ili tuamke usingizini hakika ccm watanyooka nao. Hao jamaa wako sirias na chama chao yaani ukisikia vikao vyao na mipango yao ni hatari sana.Ndugu ulichosema upo sahii 100%,ila mtego uwe kuwahamasisha vijana kupiga kura, shirika Liwe (nonpartisan)lisijinasibu Kua upande wowote..nayo itakua ngumu??