Elections 2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

Just imagine hivi tuu hakina dola mambo ya Chadema ndio haya!. Jee ingetokea kikatangazwa kushinda ile 2015 kama kilivyoshinda ingekuwaje? . Afadhali walioamua kufanya mambo vinginevyo ...

Pasco
 
Nimeukumbuka huu uzi ili kujikumbusha
tuu kitu huu udikiteta unaozungumzwa sana sasa endapo ni Chadema ingeshinda, Tanzania tungeingia kwenye udikiteta wa kiwango gani au demokrasia ingekuzwa kwa kiasi gani?.

Paskali
 
Mkuu Paskali

Ndugu zetu wanaounga mkono idea za siasa za CHADEMA hawawezi kukuelewa kirahisi.

Wavumilie tu. Ndio ukweli huu
 
Hili bandiko ni la Machi 2015, nimelikumbuka ili tuu kuwaonyesha trend readers niliona nini ndani ya Chadema, ile 2015, ninaona nini ndani ya Chadema leo, hivyo itakapofika 2020, tutegemee nini kutoka Chadema kwa kutoa angalizo lifuatalo
Handling of Serious Security Issues: Kama Chadema Takes Things For ...
Paskali
 
This was a piece of telescopic observation.
 
Mkuu Zitto jnr, kwanza asante for much respect.
Utungaji katiba is a process, kila kilichokuwepo kwenye katiba ya mwanzo, kilikuwepo kwa sababu, unapotunga katiba mpya, kila kitakacho ondolewa lazima kijadiliwe with minutes written down.

Katika huo utunzi wa katiba mpya hakuna minutes zozote kuhusu kipengele hicho, as if it's an oversight, kwa taarifa kipengele hicho ni moja ya misingi mikuu kwa Chadema kuitwa Chama cha Demokrasia, how can katiba ya Chadema iwe silent?.
P
 
Wanaolalamikia udikiteta, lalamikeni tuu, lakini tushukuru Mungu, hawakuwa maana kama wangekuwa...
P
 
Chadema ni chama kingongwe ambacho it never learns, hakijifunzi kwa makosa, and it keeps repeating makosa yale yale yanayokuja kukigharimu chama mbele ya safari.

Mimi ni miongoni mwa watu wachache humu jf ambaye niliisoma katiba ya Chadema kuliko hata baadhi ya wanachadema wenyewe.

Hawa japo wamefukuzwa, kufukuzwa huku hakukufuata utaratibu.

Ila kwa vile Bunge linavunjwa tarehe 28 ya mwezi huu, nawashauri waliofukuzwa wakubali tuu matokeo na kuachana na Chadema kwa amani bila kuibua mgogoro wowote.

Swali ni when will Chadema learn from its past mistakes?!. Katiba ya Chadema ipo, taratibu za kufuata zipo, kwanini hawafuati katiba yao, sheria zao, taratibu zao na kanuni zao?. Tukiwaambia huu ni uhuni.
P
 
Hakuna chama hapo zaidi ya Wachumia tumbo na Wahuni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mshana Jr, kwanza heshima mbele, hakuna mtu yoyote anayeiombea Chadema ife, kosa langu ni kuwa mkweli too much.

Humu jf tuna members wa aina 3, tuna
  1. Simple minds, discuss people, wao badala ya kujadili hoja iliyo mezani, hawa watamjadili mtoa hoja.
  2. Ordinary minds, discuss events, hawa watadili matukio, nini kimetokea etc
  3. Great minds discuss ideas, hawa watajadili hoja iliyo mezani.
Hivyo naomba keep on being free, kujadili watu, matukio na hoja, katika mabandiko yangu, ukiweza kujibu hoja, nitashukuru, ila hata ukinijadili, sikulaumu na likes nakutwangia.
Ukipata muda karibu ujibu hoja za bandiko hili.

Asante

Naendelea kutafakari, kama wangeshinda ile 2015, sijui saa hizi, taifa lingekuwa katika hali gani!.
P

Pascal, ninakosa hata cha kusema. Upotoshaji katika jambo hili umefikia kiwango cha kuwa propaganda. Mwaka 1961 hukuwepo wakati Nyerere akianza kuongoza nchi kwa mara ya kwanza bila kuwa na uzoefu wa uongozi wa nchi. Vyama vingi katika nchi za jirani na hata za mbali havikujua namna ya kuongoza lakini hatimaye viliongoza. Ipo siku nchi hii itakwenda kwa mwingine badala ya CCM na atakuwa hakuwahi kuongoza!!

Ni rahisi kuongoza nchi kwa kuwa kuna sheria, katiba na taratibu zilizopota mizizi. Ndio maana nafasi zinazogombewa ni za uongozi!! Mabadiliko huwa ni kidogo mwanzoni. Hata hii CCM iliyokuwa madarakani miaka kibao, bado inafanya mambo kadhaa kama imeingia uongozini jana. Hakuna muendelezo kutoka Mwingi>Mkapa>Kikwete>Magufuli. Kila aliyeingia amefanya mambo yake tofauti. Kwanini unadhani upinzani hauwezi kufanya tofauti????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…