Elections 2015 CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!

NB. Kwa msisitizo: Paskali sio mwanachama wa chama chochote cha siasa!, hajawahi kujiunga na chama chochote cha siasa, wala hana mpango wowote wa kujiunga na chama chochote cha siasa kwa lengo la lolote, bali ni political commentator, ambaye anazungumzia jambo lolote, kuhusu chama chochote. Sio mfuasi, mshabiki, wa kambi yoyote, au kiongozi yoyote, bali kama Mtanzania mwingine yoyote, kuna watu anaowakubali kijamii, kiuchumi na kisiasa, na siku ya kupiga kura, atapiga kura kuchagua kiongozi.

Update 1.

Wana jamii hayo juu ni maneno ya paskali wakati akiichambua chadema kupitia andiko lake hili.

Tujiulize Leo nn kimemkuta? mm naweza Sema paskal anatafuta heshima naye awe kiongozi naaisha bora zaidi nimkumbushe tu kafanya mawindo ya kumtafuta papa Mtoni kakosea step pasco laiti ungeanzia upinzani siasa zako ungekuwa na jina kubwa xna then ungeenda huko ccm kama ndipo unapapenda ila siasa za upinzani si unajua vema risk yake kila nikikuangalia nakuona we sio type ya ccm cjui kwann ndio maana inner system huwa inawatema mapema watu kama nyie hata kama viongoz wa chama wanawakumbatia
 
Mkuu New Order, kama ulivyo Ujamaa ni imani, siasa ni imani, kama unaamini ipo siku nchi hii itakwenda kwa mwingine badala ya CCM, it's fine kwa imani yako, ila kwa upande wangu, CCM itatawala milele!.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Duh...!. Mkuu Gultami, kuna maukweli unayasema, ni maukweli mpaka basi!. Asante.
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time and place.
P
 
Duh...!. Mkuu Gultami, kuna maukweli unayasema, ni maukweli mpaka basi!. Asante.
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time and place.
P
.....wala hana mpango wa kujiunga na Chama chochote cha siasa.
Hii kauli ukilinganisha na yaliyotokea wakati wa kura za maoni July, 2020 yanaakisi tabia yako HALISI.
 
Mkuu Madam Mwajuma , kwavile watu tumetofautiana uoni, vision, ukitokea wewe una uoni mkubwa, unaona mtu fulani ni janga, lakini kuna watu wa kwenu, wanamshabikia bila kujua ni janga, jee utawaacha tuu wachume janga, au angalau utawaonya na kuwapa angalizo kuwa huyo mnaemshabikia ni janga, mkimchagua ni sawa na mchuma janga, au utawaacha tuu wamchague wampendaye kwasababu ni haki yao ya kidemokrasia kumchagua yoyote wanayempenda hata kama ni janga?, na unajua kabisa mchuma janga hula na wakwao?.

Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?!

Hili bandiko japo ni la zamani lakini hoja zake bado ni valid kwa mustakabali wa October 28, kuhusu hoja ya udikiteta, ikitokea October 28 tukachagua majanga...!, hala hala, inaweza ikaja tokea Hitler akawa ana afadhali!.

Ni angalizo tuu!.

P
 
Mkuu Jerusalem2006 , naunga mkono hoja, Chadema hamna kitu kabisa!.
P
 
Chadema Chini ya Mbowe haifai kupewa hata Kitongoji.
Nchi ina miiko yake na dira yake. Mbowe ameongoza chama kama Kasino .

Nchi sio Dafu kuwa kila mtu anachokonoa.
 
Naunga mkono hoja.

P
 
Upo sahihi Pascal. Awa jamaa sio.
 
Nadhani umeona dikteta ni nani.
 
Inachekesha kuona chama kinahubiri haki wakati ndani ya chama ukijaribu kufurukuta na kudai haki yako ya uongozi, unazimwa haraka sana kama moto.
 
Mkuu ostrichegg , sina uhakika, lakini humu jf, sidhani kama kuna member mwingine yoyote aliyeuzungumzia udikiteta kama mimi!.
Karibu pande hizi.
P
 
Gwajima amesema Chadema ni chama cha demokrasia hivyo ni lazima Mbowe aishi kama mwanademokrasia na siyo dikteta.
Kama Freeman Mbowe analazimisha chanjo angali yupo Ufipa je akifika Ikulu itakuwaje?!
Hata mimi niliwahi kuuliza swali kama hili.
P
 
Hii ni thread ya swali, katiba ya Chadema, haitambui Mhimili wa Mahakama!. Mwanachama wa Chadema haruhusiwi kwenda mahakamani!.

Katiba ya Chadema ina mamlaka mbalimbali za nidhamu. Mamlaka ya Nidhamu ya Naibu Katibu Mkuu, ni Baraza Kuu, CC ya Chadema ilimvua Zitto uanachama kwa mamlaka gani?. Kwa vile CC ya Chadema haina mamlaka ya kumfuta uanachama NKM, kitendo cha kikao kisicho na mamlaka kutoa hukumu za ajabu ajabu, mimi nimeuita huu ni Ukangaroo!.

Zitto alikwenda mahakamani kupinga Ukangaroo huo, akashindwa kwa legal technicalities, matokeo yake wahusika wakuu wote wa dhulma hii , kila mmoja, individually, amekula bakora zake za karma na Chadema kama chama, pia kimechezea kichapo cha bakora za karma, kutoka wabunge zaidi ya 50, hadi mbunge mmoja wa ngama!.

The same scenario inataka kujirudia, Halima Mdee ni Mwenyekiti wa Bawacha, mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti wa Bawacha ni Baraza Kuu, CC ,ya Chadema ilimvua Halima Mdee uanachama wa Chadema kwa mamlaka gani?!.

Jee Halima Mdee atatinga mahakamani kupinga dhulma hii, au atakubali yaishe?.

P.
 
Msaidie uwezavyo ila habari yake imeisha. Aende Chato akalie kaburini kwa dikteta.
 
Mahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki katika JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
 
ITAUWA WATU WENGI SANA.
just imagine uwe na waziri kama sugu halafu ujifanye kumchimbachimba,kama hajatuma watu wakakunyonga ama kukupiga shaba.
lema awe waziri umletee vyoko,utaokotwa mtaloni minus your head.
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…