CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....

Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??

Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi tunaendelea kuchagua Viongozi as Hawa waliopo muda wao umeisha.

Nikawa so amazed maana miongoni mwa walonijib hivyo ni madogo walomaliza 4. Then wameingia kwenye issues za boda pale mtaani na issues zingine za hapa na pale.

Swali kwa wanachadema woote,
Je, NI KWA NAMNA GANI MTAZUIA UCHAGUZI WAZEE.... Mbona mtaani watu wanajiandaa kupiga kura ?

Wanachadema wakijibu kwa hoja badala ya kutukana naomba nipigie ban siku t
Mbili. 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
cc: Active Paw
 
Au na wewe ni maiti? Mtawala anayetawala nchi hii anatawala maiti. That is true, kila mtu analaumu CCM na viongozi wake lakini kesho anachagua CCM, kwani ni suala la kuuliza? Hii ni nchi ya wagonjwa, ni nchi ambayo iko stable tangu mwaka 1961 na haina maendeleo, sasa wewe jiulize kwa nini? Mwaka 1961 ASEAN wote walikuwa na uchumi kama wa Tanzania leo wako wapi? Something to do with IQ, we are wrong somewhere, not a joke.
 
Buku 7 kwa siku.njaa mbaya.
Karibu kwanza. Lakini uliza wenyeji.
 
Attachments

  • Screenshot_20250510-192404.png
    Screenshot_20250510-192404.png
    96 KB · Views: 29
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....

Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??

Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi tunaendelea kuchagua Viongozi as Hawa waliopo muda wao umeisha.

Nikawa so amazed maana miongoni mwa walonijib hivyo ni madogo walomaliza 4. Then wameingia kwenye issues za boda pale mtaani na issues zingine za hapa na pale.

Swali kwa wanachadema woote,
Je, NI KWA NAMNA GANI MTAZUIA UCHAGUZI WAZEE.... Mbona mtaani watu wanajiandaa kupiga kura ?

Wanachadema wakijibu kwa hoja badala ya kutukana naomba nipigie ban siku t
Mbili. 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
cc: Active Paw
Wanapoteza muda mi mwenyewe huwa siwezi kuvumilia foleni ila mwaka huu nilivumilia ili kura yangu niipeleke kwa Samia
 
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....

Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??

Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi tunaendelea kuchagua Viongozi as Hawa waliopo muda wao umeisha.

Nikawa so amazed maana miongoni mwa walonijib hivyo ni madogo walomaliza 4. Then wameingia kwenye issues za boda pale mtaani na issues zingine za hapa na pale.

Swali kwa wanachadema woote,
Je, NI KWA NAMNA GANI MTAZUIA UCHAGUZI WAZEE.... Mbona mtaani watu wanajiandaa kupiga kura ?

Wanachadema wakijibu kwa hoja badala ya kutukana naomba nipigie ban siku t
Mbili. 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
cc: Active Paw
Wapumbavu hujiapiza mabaya moyon mwao.

Alafu Pimbi wa CCM mnafanana Kila kitu mpaka Uelewa, utasikiaa..

CHADEMA isipokufa mwaka huu nitatembea uchi
CHADEMA ikitoboa mwaka huu mniite Mbwa
CHADEMA hii ikifika 2027 nipigwe Ban JF
CHADEMA hii ilojaa uonevu isipokufa nahamia Kongo.

Yaan wapumbavu Huwa mnajiapiza ovyoovyo
 
Au na wewe ni maiti? Mtawala anayetawala nchi hii anatawala maiti. That is true, kila mtu analaumu CCM na viongozi wake lakini kesho anachagua CCM, kwani ni suala la kuuliza? Hii ni nchi ya wagonjwa, ni nchi ambayo iko stable tangu mwaka 1961 na haina maendeleo, sasa wewe jiulize kwa nini? Mwaka 1961 ASEAN wote walikuwa na uchumi kama wa Tanzania leo wako wapi? Something to do with IQ, we are wrong somewhere, not a joke.
Haya uliyoyaandika kwa kichwa tupu cha huyo "triple zero five" 0005 , hataelewa chochote.
 
Wapumbavu hujiapiza mabaya moyon mwao.

Alafu Pimbi wa CCM mnafanana Kila kitu mpaka Uelewa, utasikiaa..

CHADEMA isipokufa mwaka huu nitatembea uchi
CHADEMA ikitoboa mwaka huu mniite Mbwa
CHADEMA hii ikifika 2027 nipigwe Ban JF
CHADEMA hii ilojaa uonevu isipokufa nahamia Kongo.

Yaan wapumbavu Huwa mnajiapiza ovyoovyo
Mkuu usitumie nguvu nyingi hiyo akaunti mpya ya buku saba. Imekuja kuongezea nguvu baada ya machawa wakuu Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa kushindwa.
 
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....

Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??

Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi tunaendelea kuchagua Viongozi as Hawa waliopo muda wao umeisha.

Nikawa so amazed maana miongoni mwa walonijib hivyo ni madogo walomaliza 4. Then wameingia kwenye issues za boda pale mtaani na issues zingine za hapa na pale.

Swali kwa wanachadema woote,
Je, NI KWA NAMNA GANI MTAZUIA UCHAGUZI WAZEE.... Mbona mtaani watu wanajiandaa kupiga kura ?

Wanachadema wakijibu kwa hoja badala ya kutukana naomba nipigie ban siku t
Mbili. 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
cc: Active Paw
Nini kongo nenda kakae na magu kabisa
 
Wapumbavu hujiapiza mabaya moyon mwao.

Alafu Pimbi wa CCM mnafanana Kila kitu mpaka Uelewa, utasikiaa..

CHADEMA isipokufa mwaka huu nitatembea uchi
CHADEMA ikitoboa mwaka huu mniite Mbwa
CHADEMA hii ikifika 2027 nipigwe Ban JF
CHADEMA hii ilojaa uonevu isipokufa nahamia Kongo.

Yaan wapumbavu Huwa mnajiapiza ovyoovyo
Jingajinga hilo.
 
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....

Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??

Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi tunaendelea kuchagua Viongozi as Hawa waliopo muda wao umeisha.

Nikawa so amazed maana miongoni mwa walonijib hivyo ni madogo walomaliza 4. Then wameingia kwenye issues za boda pale mtaani na issues zingine za hapa na pale.

Swali kwa wanachadema woote,
Je, NI KWA NAMNA GANI MTAZUIA UCHAGUZI WAZEE.... Mbona mtaani watu wanajiandaa kupiga kura ?

Wanachadema wakijibu kwa hoja badala ya kutukana naomba nipigie ban siku t
Mbili. 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
cc: Active Paw
natamani sana kuwaona hao chadema wakizuia hata mwanachama moja tu wa CHAUMA au NLD asipige kura achilia mbali vyama vingine zaidi ya 15 vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi huo.

halafu gentleman,
hao watakaozuia uchaguzi si wataonekana kama vibaka tu kwasababu hawana hata vitambulisho vya kupigia kura na kwahivyo itakua rahisi kuwadhibiti na kuwasukuma ndrani korokoroni? :NoGodNo:
 
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....

Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??

Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi tunaendelea kuchagua Viongozi as Hawa waliopo muda wao umeisha.

Nikawa so amazed maana miongoni mwa walonijib hivyo ni madogo walomaliza 4. Then wameingia kwenye issues za boda pale mtaani na issues zingine za hapa na pale.

Swali kwa wanachadema woote,
Je, NI KWA NAMNA GANI MTAZUIA UCHAGUZI WAZEE.... Mbona mtaani watu wanajiandaa kupiga kura ?

Wanachadema wakijibu kwa hoja badala ya kutukana naomba nipigie ban siku t
Mbili. 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
cc: Active Paw
CHADEMA IMEPUUZWA SANA
 
Wanamsubiria Amsterdam 😂😂
 
Back
Top Bottom