CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....

Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??

Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi tunaendelea kuchagua Viongozi as Hawa waliopo muda wao umeisha.

Nikawa so amazed maana miongoni mwa walonijib hivyo ni madogo walomaliza 4. Then wameingia kwenye issues za boda pale mtaani na issues zingine za hapa na pale.

Swali kwa wanachadema woote,
Je, NI KWA NAMNA GANI MTAZUIA UCHAGUZI WAZEE.... Mbona mtaani watu wanajiandaa kupiga kura ?

Wanachadema wakijibu kwa hoja badala ya kutukana naomba nipigie ban siku t
Mbili. 🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
cc: Active Paw
Tulikubaliana kikaoni kwamba, kwa kuhamia ni BURUNDI tu na si kwingineko..!!
 
Au na wewe ni maiti? Mtawala anayetawala nchi hii anatawala maiti. That is true, kila mtu analaumu CCM na viongozi wake lakini kesho anachagua CCM, kwani ni suala la kuuliza? Hii ni nchi ya wagonjwa, ni nchi ambayo iko stable tangu mwaka 1961 na haina maendeleo, sasa wewe jiulize kwa nini? Mwaka 1961 ASEAN wote walikuwa na uchumi kama wa Tanzania leo wako wapi? Something to do with IQ, we are wrong somewhere, not a joke.
Watu wana laamu CCM sababu kubwa hakuna chama kingine kimewahi kutawala. Lakini na kuhakikishia huo wengine huenda wakaongoza awamu moja tu na CCM akarudi na tuka jilaumu sana.
 
Ccm inawajinga wengi mpaka naogopa

Kampeni ya Chadema ni no reform no election na siyo no kujiandikisha!

Jingaa kabisa wewe
Kweli mkuu. Mimi mwenyewe nilienda kujiandikisha (kufanya uhakiki). Lakini bila reforms sipigi kura. Kama tusipojiandikisha halafu chura kiziwi akabanwa na kufanya reforms unadhani tutamchagua Lissu kwa vitambulisho gani? Ma-ccm hayaelewi takwa la cdm.
 
Back
Top Bottom