CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

Tulikubaliana kikaoni kwamba, kwa kuhamia ni BURUNDI tu na si kwingineko..!!
 
Watu wana laamu CCM sababu kubwa hakuna chama kingine kimewahi kutawala. Lakini na kuhakikishia huo wengine huenda wakaongoza awamu moja tu na CCM akarudi na tuka jilaumu sana.
 
Ccm inawajinga wengi mpaka naogopa

Kampeni ya Chadema ni no reform no election na siyo no kujiandikisha!

Jingaa kabisa wewe
Kweli mkuu. Mimi mwenyewe nilienda kujiandikisha (kufanya uhakiki). Lakini bila reforms sipigi kura. Kama tusipojiandikisha halafu chura kiziwi akabanwa na kufanya reforms unadhani tutamchagua Lissu kwa vitambulisho gani? Ma-ccm hayaelewi takwa la cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…