Pre GE2025 CHADEMA iko tayari kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye atatumia zaidi ya miezi sita ya mwaka akiwa Ubelgiji na familia yake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje?

Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake.

Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji
 
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje? Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake.

Na muongozwe kwa matusi na udikteta
 
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje? Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake.

Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji
itakua ajabu sana eti,
chadema iongozwe na mwenyekiti anae tembea na tiketi ya ndege mfukoni :pedroP:
 
Urafiki wa CCM na Mbowe umeibuka ghafla siku hizi

Kamati kuu ya CHADEMA ikimleta sultan tunahamia Kwa Hashimu Rungwe Mzee wa ubwabwa
 
Kwani akienda nje anapoteza uraia wake wa tanzania??!,,pia inafahamika anaenda kwa ajili ya check up,lipi tatizo, wengine mbona wanaenda?,wivu tu unawasumbua.
 
Urafiki wa CCM na Mbowe umeibuka ghafla siku hizi

Kamati kuu ya CHADEMA ikimleta sultan tunahamia Kwa Hashimu Rungwe Mzee wa ubwabwa
Mzee wa ubwabwa hana siasa za hovyo
 
CCM wao si waliongozwa na ombaomba mrandisha kopo Ulaya. Pamoja na watanzania pia.

Au umemsahau yule wa Msonga
 
Kaongea ukweli pia…..mtu akitishiwa nyau kidogo tu anakimbilia Ulaya je ataweza vipi kuchunga kondoo wake?? Mtu ambae muda mwingi anaupoteza Ulaya atawezaje ongoza harakati?
Anatakiwa awe amewabeba mgongoni muda wote wa uongozi?
 
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje?

Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake.

Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji

CCM hebu waacheni chadema wamue mambo Yao

Huyo Mbowe juzi Tu ameitisha maandamano mkamuona kama chizi, mkasema maneno yote ya Dharau

Leo mnajifanya mko upande wake

Acheni wenyewe waamue kama wanavyoamua kwenye maandamano yao
 
Kama Nkurunzinza Mbowe mchumia tumbo kachumia tumbo miaka 30 na tumemnyamazia ije iwe hiyo miezi 6 ya Lissu kukaa na familia yake ?
 
Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje?

Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake.

Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji
Je wewe ni mwanchadema ?
 
Back
Top Bottom