Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Pamoja sana✌️Safi,tunasubiri
Hapana yupo bize kuutafuta utajiri ili awe namba moja Afrika mana siasa ilimchelewesha sana BradhaHivi yule mzee inaesemekana yupo bize na biashara zake, alikuwepo uko kwenye vikao vya wajumbe wa kamati kuu?.
Katikati Dr.Slaa 🤣🤣Huku Gwajima kule Heche
Aiseee 🐼
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.
Lucas bado hajajitambua 😁
Unamkataa om'boi? Saizi yupo huko kuandaa majibu ya kumpa Askofu GwajimaLucas bado hajajitambua 😁
Wewe unafikiri uamuzi wa kuja na ajenda na movement ya NO REFORMS NO ELECTION ni rahisi..?Heche na Chadema yake wanapaswa wawe na utamaduni wa kuja na maazimio magumu
Gwaji boy ameonesha uzalendo wa hali ya juu kwa nchi yake ila inabidi akae kwa password...CCM ni chama cha mafisi.Wewe unafikiri uamuzi wa kuja na ajenda na movement ya NO REFORMS NO ELECTION ni rahisi..?
Ni uamuzi mgumu na ndo unazaa yote haya unayoyaona yanatokea sasa hata mwenyekiti kuwa gerezani kwa kesi ya uhaini; watu kutekwa na kupotezwa, vurugu na misuguano huko CCM mpaka kina Josephat Gwajima kutoka na kusema...
Kaka, tuko vizuri mno. Tunaelekea kuzuri...
CHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu? Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Hao mnaowaona wajinga na kuwabagua ndo huwa waaminifu mno kwenye kupiga kura. Wahadzabe wa kule Ziwa Eyasi wanapataje hivyo vitabu?
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.
===
Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.
DuuhCHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu? Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Hao mnaowaona wajinga na kuwabagua ndo huwa waaminifu mno kwenye kupiga kura. Wahadzabe wa kule Ziwa Eyasi wanapataje hivyo vitabu?