John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 612
- 382
Je, wanasema ukweli au si kweli?Huku Gwajima kule Heche
Aiseee 🐼
Je, wanasema ukweli au si kweli?Huku Gwajima kule Heche
Aiseee 🐼
Nimewaombea Jimbo la Mbeya mjiniMshirika wako unamkana na Tlaatlaah ChoiceVariable hawa ndo team yako, vijana wako watiifu.
Siasa hazinaga ukweli bwasheeJe, wanasema ukweli au si kweli?
Ama kweli kama uchunguzi uanzie kwa wenye husda na chama hiki kama wewe!Kilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.
===
Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.
Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Mama ....2025 njoo nikule basi! Yaani wewe nikikukamata nakuwa kama namla mwenye nalo!CHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu? Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Hao mnaowaona wajinga na kuwabagua ndo huwa waaminifu mno kwenye kupiga kura. Wahadzabe wa kule Ziwa Eyasi wanapataje hivyo vitabu?
Keyboard warrior kwema?Mama ....2025 njoo nikule basi! Yaani wewe nikikukamata nakuwa kama namla mwenye nalo!
Njoo nikule!Keyboard warrior kwema?
Sili mashogaNjoo nikule!
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.
===
Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.
Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Pia soma
- Pre GE2025 - DSM - Majibu ya CHADEMA kwa Msajili kuhusu malalamiko ya Lembrus Mchome ya Ukiukwaji wa Katiba
- Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba
- Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
- Barua ya CHADEMA ikimjibu Lembrus Mchome kuhusu malalamiko ya kupitishwa kwa viongozi kinyume na katiba ya chama
Na pia hajulikani kama ni me au ke ndiyo maana wanasema ni jinsia ya tatu.Lucas bado hajajitambua 😁
Huyo mshangazi anachoweza ni kushika dushee na kulielekeza mtaroni kwake tu.Ila mkuu sijui ni tatizo la uelewa au shida ni nini ? Kongamano ni la wasomi wa chuo kikuu kwahyo lazima wanajua kingereza.
huo ushauri ameutoa akilenga hadhira aliyonayo hapo.
sasa hivi sio lazima mtu anaunue kitabu hard copy, kuna soft copy unatumiwa hadi kwa Bluetooth mkuu .
Punguza shobo utaolewa bila mahariHuyo mshangazi anachoweza ni kushika dushee na kulielekeza mtaroni kwake tu.
Nadhani anataka ICC waombwe kuchunguza je taratibu zao zikoje?Wewe unafikiri uamuzi wa kuja na ajenda na movement ya NO REFORMS NO ELECTION ni rahisi..?
Ni uamuzi mgumu na ndo unazaa yote haya unayoyaona yanatokea sasa hata mwenyekiti kuwa gerezani kwa kesi ya uhaini; watu kutekwa na kupotezwa, vurugu na misuguano huko CCM mpaka kina Josephat Gwajima kutoka na kusema...
Kaka, tuko vizuri mno. Tunaelekea kuzuri...
N ngumu kufuta chama kwa vile tu kinadai Reforms ni kuzidi kumharibia Rais. Tayari dunia yote imevimba Mwenyekiti wao atanyongwa sasa utaeleweka. wamezuiwa kushiriki uchaguzi halafu mnataka kuongeza workload!Kilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
Kama yule mzee mwenye kiharusi hakufikishi kileleni ilete niichape hadi irushe mimaji, sawa sawa?Punguza shobo utaolewa bila mahari
CHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu? Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Hao mnaowaona wajinga na kuwabagua ndo huwa waaminifu mno kwenye kupiga kura. Wahadzabe wa kule Ziwa Eyasi wanapataje hivyo vitabu?