PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
Hawaelewi hao kazi ya nsajiki.yeyote awe wa kampuni,biashara ,Ngo ,vyama vya siasa ,taasisi za dini ,za kitaalamu kazi yake sio kusajili tu ni pamoja na kufuta

CHADEMA waliobaki wamepania CHADEMA ifutwe na itafutwa ndio maana waona mbali wamehamia CHAUMMA
 
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.

Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.

===

Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.

Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Pia soma

Mpaka kieleweka, Mimi nyumbani kwangu nimepiga marufuku familia yangu kwenda KUPIGA KURA
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa iliyosambazwa kote Duniani, Kwamba Bwana Mutungi hana Mamlaka yoyote ya kuhoji Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Hicho.

Swahiba wa Mutungi waliyepangishiana naye nyumba huko Masaki anayeitwa Mchome tayari amehamia Chama Mamluki cha CHAUMA

Screenshot_2025-05-25-16-59-50-1.png
 
Hii ndio Taarifa ya Sasa iliyosambazwa kote Duniani, Kwamba Bwana Mutungi hana Mamlaka yoyote ya kuhoji Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Hicho.

Swahiba wa Mutungi waliyepangishiana naye nyumba huko Masaki anayeitwa Mchome tayari amehamia Chama Mamluki cha CHAUMA

View attachment 3345445
Ni jambo jema. Yule mpuuzi anapaswa kupuuzwa tu, ni bange zile sio akili yake.
 
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.

Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.

===

Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.

Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Pia soma

And you are proud of it
 
Wewe unafikiri uamuzi wa kuja na ajenda na movement ya NO REFORMS NO ELECTION ni rahisi..?

Ni uamuzi mgumu na ndo unazaa yote haya unayoyaona yanatokea sasa hata mwenyekiti kuwa gerezani kwa kesi ya uhaini; watu kutekwa na kupotezwa, vurugu na misuguano huko CCM mpaka kina Josephat Gwajima kutoka na kusema...

Kaka, tuko vizuri mno. Tunaelekea kuzuri...
Amina
 
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.

Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.

===

Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.

Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Pia soma

Yaani Msajili anaingiliaje mambo ya vyama ya ndani? Hili jambo hajiakaa sawa
 
Hawaelewi hao kazi ya nsajiki.yeyote awe wa kampuni,biashara ,Ngo ,vyama vya siasa ,taasisi za dini ,za kitaalamu kazi yake sio kusajili tu ni pamoja na kufuta

CHADEMA waliobaki wamepania CHADEMA ifutwe na itafutwa ndio maana waona mbali wamehamia CHAUMMA
Kiujumla Msajili anajichanganya, unaingiliaje mambo ya vyama ya ndani?
 
Mambo ya uchaguzi wa kikatiba yanamhusu sana tu kama akidi haikutimia kwa mujibu wa katiba ya chama alichosajili kuchagua viongozi ana haki ya kuwakataa waliochaguliwa

Someni katiba yenu ya CHADEMA na msome barua aliyowaandikia
 
Huyo Msajii si ni mjinga mjinga tu hana lolote.

Kama anaweza azuie mikutamo ya hadhara kesho.
 
Back
Top Bottom