Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
- Thread starter
- #21
Benjamini Netanyahu kuja
Wanakuwa wamemkomesha nani hapo mkuuKilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
Alindwe kwa wivu mkubwaHeche ni hazina ya Taifa
Mbona unaonekana una akili ya kukuwezesha kuelewa zaidi ya hivyo ukivyoelewa ndugu!!??CHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu? Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Hao mnaowaona wajinga na kuwabagua ndo huwa waaminifu mno kwenye kupiga kura. Wahadzabe wa kule Ziwa Eyasi wanapataje hivyo vitabu?
Anachomaanisha kaa hakuna reforms means hawatokuwepo kwenye ballot pape. Maana yake ni nini? Maana yake watu hawatokwenda kupiga kura.Swala ni Reforms siyo kuwekwa kwenye karatasi za kupigia kura.
Hivyo wakiwekwa kwenye karatasi za kupigia kura bila reforms watashiriki uchaguzi?
Ila mkuu sijui ni tatizo la uelewa au shida ni nini ? Kongamano ni la wasomi wa chuo kikuu kwahyo lazima wanajua kingereza.CHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu?
sasa hivi sio lazima mtu anaunue kitabu hard copy, kuna soft copy unatumiwa hadi kwa Bluetooth mkuu .Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno.
Hanaga hoja Wala jipya Zaid ya kulamba miguu ya binadamu wenzake.Unamkataa om'boi? Saizi yupo huko kuandaa majibu ya kumpa Askofu Gwajima
Hiyo inaeleweka ndiyo "No Reforms no Election"Anachomaanisha kaa hakuna reforms means hawatokuwepo kwenye ballot pape. Maana yake ni nini? Maana yake watu hawatokwenda kupiga kura.
Tatizo mle ni wanasheria waliobobea,inakua changamoto kutimiza hilo takwa lako,usidhani kua baadhi ya watu kama JPM walishindwa kufanya hivyo kwanini,matokeo yake ni pyuupyuu tu,akasepa akamuacha mwamɓa na risasi kumgongo.Kilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
Hii ikome kabisa,eti CCM wasimamie uchaguzi,hapo ndo nini sasa?Hiyo inaeleweka ndiyo "No Reforms no Election"
Kwa mwendo huu hata hizo reforms zikifanyika kwasasa hakuna imani tena kwamba uchaguzi utakuwa huru.
Waahirishe uchaguzi tupange utaratibu upya, siyo ccm kuendesha na kusimamia uchaguzi.
Tumefanya hivyo miaka yote, kwa sasa tumechoka hatutaki tena.Hii ikome kabisa,eti CCM wasimamie uchaguzi,hapo ndo nini sasa?
Bora uchaguzi usifanyike tu,ijulikane moja,kuliko kwenda kuwasindikiza watu wengine wagawane madaraka.
Aisee, UVCCM bhana....!CHADEMA na ubaguzi ni ndugu wa damu. Anyway, haohao wasomi anaowatolea tamko wawapigie kura. Kuna watu wengi hawana elimu kubwa na hawajui kiingereza watasomaje hivyo vitabu? Wengine uchumi hauruhusu hivyo hawawezi kununua hivyo vitabu. Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Hao mnaowaona wajinga na kuwabagua ndo huwa waaminifu mno kwenye kupiga kura. Wahadzabe wa kule Ziwa Eyasi wanapataje hivyo vitabu?
Mshirika wako unamkana na Tlaatlaah ChoiceVariable hawa ndo team yako, vijana wako watiifu.Lucas bado hajajitambua 😁