PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Safi sana, huu msimamo wa cdm nimeukubali sana. Hakuna kubadilikabadilika. J3 naweka 25,000 tonetone operatio izidi kupata nguvu.
 
Mama ....2025 njoo nikule basi! Yaani wewe nikikukamata nakuwa kama namla mwenye nalo!
 
Maadam hawashiriki Uchaguzi Mkuu na maadam taratibu za Uchaguzi Mkuu zinaendelea, wao waendelee tu na No Reform, No Election ila wasiingie kwenye anga za kuzuia Uchaguzi Mkuu. Heche ni jirani yangu Majengo Mapya, Mkolani. Ni mwepesi sana.
 
Huyo mshangazi anachoweza ni kushika dushee na kulielekeza mtaroni kwake tu.
 
Nadhani anataka ICC waombwe kuchunguza je taratibu zao zikoje?
 
Kilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
N ngumu kufuta chama kwa vile tu kinadai Reforms ni kuzidi kumharibia Rais. Tayari dunia yote imevimba Mwenyekiti wao atanyongwa sasa utaeleweka. wamezuiwa kushiriki uchaguzi halafu mnataka kuongeza workload!
 


..Heche alikuwa akizungumza na jumuiya ya wasomi.

..msubiri akifika ktk eneo la watu wa kawaida utamsikia na hoja zake za uchumi jumuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…