Hawaelewi hao kazi ya nsajiki.yeyote awe wa kampuni,biashara ,Ngo ,vyama vya siasa ,taasisi za dini ,za kitaalamu kazi yake sio kusajili tu ni pamoja na kufutaKilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
Mpaka kieleweka, Mimi nyumbani kwangu nimepiga marufuku familia yangu kwenda KUPIGA KURA
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.
===
Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.
Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Pia soma
- Pre GE2025 - DSM - Majibu ya CHADEMA kwa Msajili kuhusu malalamiko ya Lembrus Mchome ya Ukiukwaji wa Katiba
- Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba
- Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
- Barua ya CHADEMA ikimjibu Lembrus Mchome kuhusu malalamiko ya kupitishwa kwa viongozi kinyume na katiba ya chama
Ni jambo jema. Yule mpuuzi anapaswa kupuuzwa tu, ni bange zile sio akili yake.Hii ndio Taarifa ya Sasa iliyosambazwa kote Duniani, Kwamba Bwana Mutungi hana Mamlaka yoyote ya kuhoji Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Hicho.
Swahiba wa Mutungi waliyepangishiana naye nyumba huko Masaki anayeitwa Mchome tayari amehamia Chama Mamluki cha CHAUMA
View attachment 3345445
kwani yeye katumia kifungu gani cha sheria kwa maamuzi aliyofikia kuhusu secretariati ya Chadema?Chadema imetumia kifungu gani cha Sheria kumpuuza Msajili?
And you are proud of it
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.
===
Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.
Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Pia soma
- Pre GE2025 - DSM - Majibu ya CHADEMA kwa Msajili kuhusu malalamiko ya Lembrus Mchome ya Ukiukwaji wa Katiba
- Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba
- Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
- Barua ya CHADEMA ikimjibu Lembrus Mchome kuhusu malalamiko ya kupitishwa kwa viongozi kinyume na katiba ya chama
Kikundi cha wahuni hakina vifunguChadema imetumia kifungu gani cha Sheria kumpuuza Msajili?
Mkuu, nadhani ni kifungu kile kile alichotumia msajili kubatilisha maamuzi ya Sidiemu.Chadema imetumia kifungu gani cha Sheria kumpuuza Msajili?
AminaWewe unafikiri uamuzi wa kuja na ajenda na movement ya NO REFORMS NO ELECTION ni rahisi..?
Ni uamuzi mgumu na ndo unazaa yote haya unayoyaona yanatokea sasa hata mwenyekiti kuwa gerezani kwa kesi ya uhaini; watu kutekwa na kupotezwa, vurugu na misuguano huko CCM mpaka kina Josephat Gwajima kutoka na kusema...
Kaka, tuko vizuri mno. Tunaelekea kuzuri...
Dunia gani unayoiongelea wewe?😁....Tayari dunia yote imevimba...
Yaani Msajili anaingiliaje mambo ya vyama ya ndani? Hili jambo hajiakaa sawa
View: https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam.
Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23 na 24 Mei 2025.
===
Katibu mkuu John Heche, amewataka wasomi wanaoiunga mkono CHADEMA kufuata misingi na falsafa za chama hiko. Amewataka wasome kitabu cha Intellectuals at the hill cha Prof Issa Shivji, cha pili ni Mr punch na cha tatu ni azimio linaloitwa Dar es salaam declaration on academic freedom and social responsibilities of academicians.
Makamu Mwenyekiti John Heche ameeleza kuwa kwa pamoja wameazimia kutofuata maagizo ya msajili wa vyama vya siasa kwa sababu yeye hana mamlaka hiyo ya kuwaingilia. Aidha ameeleza kuwa kwa anayelalamika ama kutoa malalamiko vipo vyombo ndani ya chama vya kujadili masuala hayo na hivo katibu mkuu ni yule yule aliyepitishwa.
View attachment 3345087
Katika hatua nyingine Heche ameeleza kuwa kamati kuu imebariki kampeni ya No reforms No election kuendelea kuchanja mbuga katika Kanda sita.
View attachment 3345093
Pia soma
- Pre GE2025 - DSM - Majibu ya CHADEMA kwa Msajili kuhusu malalamiko ya Lembrus Mchome ya Ukiukwaji wa Katiba
- Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba
- Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome
- Barua ya CHADEMA ikimjibu Lembrus Mchome kuhusu malalamiko ya kupitishwa kwa viongozi kinyume na katiba ya chama
Yaani ufute usajili wa chama kisa wameweka uongozi asioupenda Msajili?Kilichobaki ni kuifutia usajili na kuiacha iwe kikundi cha kigaidi kama Hamas
Mi nilishaweka na nitaendeleaSafi sana, huu msimamo wa cdm nimeukubali sana. Hakuna kubadilikabadilika. J3 naweka 25,000 tonetone operatio izidi kupata nguvu.
Kiujumla Msajili anajichanganya, unaingiliaje mambo ya vyama ya ndani?Hawaelewi hao kazi ya nsajiki.yeyote awe wa kampuni,biashara ,Ngo ,vyama vya siasa ,taasisi za dini ,za kitaalamu kazi yake sio kusajili tu ni pamoja na kufuta
CHADEMA waliobaki wamepania CHADEMA ifutwe na itafutwa ndio maana waona mbali wamehamia CHAUMMA
Mambo ya uchaguzi wa kikatiba yanamhusu sana tu kama akidi haikutimia kwa mujibu wa katiba ya chama alichosajili kuchagua viongozi ana haki ya kuwakataa waliochaguliwaKiujumla Msajili anajichanganya, unaingiliaje mambo ya vyama ya ndani?