M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 6,363 Reaction score 5,354 May 25, 2025 #81 MamaSamia2025 said: Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Click to expand... Kumbe unajua Nrne ilianza kuzingatiwa na hao wasomi muda mrefu, sasa hitimisho tutaelewana tu
MamaSamia2025 said: Ninawashauri viongozi wakuu wa CHADEMA muwe mnatoa kauli za kugusa makundi yote. Hiyo kusema CHADEMA ni ya wasomi tu itaendelea kuwagharimu mno. Wasomi wengi huwa hawapigi kura. Click to expand... Kumbe unajua Nrne ilianza kuzingatiwa na hao wasomi muda mrefu, sasa hitimisho tutaelewana tu
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,507 Reaction score 45,129 May 25, 2025 #82 LIMBOMAMBOMA said: Kiujumla Msajili anajichanganya, unaingiliaje mambo ya vyama ya ndani? Click to expand... Ni aibu kubwa, kuna siku atawapangia CDM hadi wafagia ofisi waweje.
LIMBOMAMBOMA said: Kiujumla Msajili anajichanganya, unaingiliaje mambo ya vyama ya ndani? Click to expand... Ni aibu kubwa, kuna siku atawapangia CDM hadi wafagia ofisi waweje.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,930 Reaction score 19,156 May 25, 2025 #83 LIMBOMAMBOMA said: Yaani Msajili anaingiliaje mambo ya vyama ya ndani? Hili jambo hajiakaa sawa Click to expand... Sheria, taratibu na kanuni
LIMBOMAMBOMA said: Yaani Msajili anaingiliaje mambo ya vyama ya ndani? Hili jambo hajiakaa sawa Click to expand... Sheria, taratibu na kanuni