Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr. Stephen Mwakajumilo PhD Degree in Microfinance, employee of Bank of Tanzania as a Senior Principal Microfinance Analyst, Member of National Executive Committee of Chama Cha Mapinduzi ... born in Rungwe District Rungwe District, Mbeya Region. And went to local primary and secondary school, after national service he pursued an Advanced Diploma in Accountancy from The Institute of Finance Management(IFM Dar), Postgraduate Diploma in Accountancy (AIA), Professional Certificate in SACCOs Management (MUCCOBS), and PhD (Microfinance) from St.Clements Uinversity.
Serekali na Polisi wa ccm wako bize na chademaNi dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba.
Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka wala kutaka kujua kwamba viongozi wao wote waandamizi wa chama chao wametiwa nguvuni na nini kinaendelea kwao.
Ni ndugu, jamaa na marafiki za waliotiwa nguvuni ndio pekee wana sumbuka , wana haha na kuhangaika huko na huko, kutaka walau kujua au kufahamu kulikoni, na kufuatilia kinachoendelea huko mahabusu wanakosota..
Wanachama wao hawana kabisa habari nao, wala hawana muda wa kupoteza nao, wanapambana na shughuli na kazi zao za kila siku za kuwapatia riziki wao na familia zao kama kawaida..
Watu wameichoka chadema, watu hawana tena imani na chadema, watu wameamua kujitenga na chadema inayochochea migawanyiko, fujo, na kulazimisha hata mambo yasiyo na maana wala umuhimu kama vile maandamano...
Wapendwa, haya mambo yanahitaji umakini, hekima na busara sana kuyafanya. Vinginevyo utateseka, utahangaika, utasumbuka na kuhangaisha familia, ndugu, jamaa na marafiki zako bure tu, huku ukiwatesa zaidi watoto na wanafamilia wako nyumbani...
Siasa ni sayansi sio uhalifu au fujo.
Je, hali hii ni uthibitisho ya kwamba chadema is no more?🐒
Ukimalizo post upumbavu wako unaenda pokea posho LumumbaNi dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba.
Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka wala kutaka kujua kwamba viongozi wao wote waandamizi wa chama chao wametiwa nguvuni na nini kinaendelea kwao.
Ni ndugu, jamaa na marafiki za waliotiwa nguvuni ndio pekee wana sumbuka , wana haha na kuhangaika huko na huko, kutaka walau kujua au kufahamu kulikoni, na kufuatilia kinachoendelea huko mahabusu wanakosota..
Wanachama wao hawana kabisa habari nao, wala hawana muda wa kupoteza nao, wanapambana na shughuli na kazi zao za kila siku za kuwapatia riziki wao na familia zao kama kawaida..
Watu wameichoka chadema, watu hawana tena imani na chadema, watu wameamua kujitenga na chadema inayochochea migawanyiko, fujo, na kulazimisha hata mambo yasiyo na maana wala umuhimu kama vile maandamano...
Wapendwa, haya mambo yanahitaji umakini, hekima na busara sana kuyafanya. Vinginevyo utateseka, utahangaika, utasumbuka na kuhangaisha familia, ndugu, jamaa na marafiki zako bure tu, huku ukiwatesa zaidi watoto na wanafamilia wako nyumbani...
Siasa ni sayansi sio uhalifu au fujo.
Je, hali hii ni uthibitisho ya kwamba chadema is no more?🐒
Kula kulala bure mnataabu sananani hanitaki huko CCM ambako siko?🐒
kipawa, akili, utashi, nguvu, uchaji wangu kimwili na kiroho, ni Neema na Baraka za Mungu, nimepewa bure nami nitasaidia wengine bure...
sio CCM, chadema, chauma CUF n.k inaweza kwa namna yoyote kuharibu haiba yangu kwa namna yoyote ile,
ninapopambania wananchi na waTanzania wote, huwa siko pekeyangu, daima niko na Mungu na amenihakikishia kumaliza na kufika salama katika safari yangu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa maslahi mapana ya wananchi 🐒
sina hofu wala woga, nina ujasiri na uhakika wa kufika ninakokwenda, bila police, chadema, CCM ama vinginevyo, don't be confused please 🐒
unamuogopa chairman kama vice chairman anavyomuogopa?🐒Sis jobless hatuna pa kukoment tunaogop karati na ugali wa sa nane na mchuzi dishi wa maharage mawili
kwa afya timamu wa afya ya akili, mwili na roho, ni muhimu sana kula vizuri, kulala vizuri na iliwezekana kunywa kiasi itapendeza zaidi 🐒Kula kulala bure mnataabu sana
uoga wao umewatia hofu wanachama wao na kuwafanya wakose ujasiri kabisa wa kuwalilia na kuwatetea kama ilivyokua huko awali, hata wanapopatikana kwenye majanga, mathalani kukamatwa viongozi wao baada ya kujihusisha na njama za kuleta vurugu na uvunjifu wa amani na kujihusisha na magenge ya kihalifu huko mbeya 🐒Hawa jamaa waoga sana 😄
Ova
zingatia hii koment hapa chini bila mihemko, itakupa mwangaza uelewa na ufahamu mzuri na muhimu zaidi 👇👇Lakini bila ya nguvu ya dola uwezo wa kushindana não hamna.
thank you gentleman 👊Ni vigumu chadema kukubali, ila moja ya kosa kubwa walilolifanya na litawagharimu kwa muda mrefu ni kushindwa kufanya kazi na JPM ambapo katika hatua za awali za utawala wake walidai ni nguvu ya soda baadae wakasema anatumia sera zao na mwishoni wakaanza kumuita dictator. Chadema hawawezi kuwa na nguvu kama zamani hadi watoke hadharani na kumuomba msamaha JPM ili watanzania wengi hasa wa hali ya chini wawasamehe, ikumbukwe hawa ndio walio wengi na ndio wapiga kura. Kwa sawa chadema hawaeleweki wanampigania nani.