Pre GE2025 CHADEMA imedhoofika na kunyong'onyea mno kisiasa nchini haina maono tena

Pre GE2025 CHADEMA imedhoofika na kunyong'onyea mno kisiasa nchini haina maono tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna mhemko hata mmoja ukweli ndio huwo hamwezi kushindana bila ya figisu za kutumia nguvu za policcm na vyombo vyengine.
sure Jeshi la police haliwezi kupuuzia wala kushindana na magenge ya kihalifu,

linapambana nayo na kuyadhibiti kama ambavyo imefanyika,

ila kwa huruma ya rais Kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan wahalifu wamejitenga na uvunjifu wa amani na utulivu wameachiwa huru 🐒
 
kiukweli ni nyuma mno,
chama cha siasa kujihusisha na magenge ya kiahalifu kuvuruga amani na utulivu wa wananchi, ni jambo la ajabu na lililopitwa na wakati sana gentleman 🐒

tazama sasa wahalifu wamewekwa korokoroni wanachama wao kimya kama hawaoni vile dah 🤣

hata hivyo kwa huruma ya rais wahalifu wameachiwa huru 🐒
Ukiona mtu yeyote anaishabikia ccm ni kwasababu ni mwizi wa mali za umma, ni kiongozi wa ccm anayefaidika na cheo chake, ndugu yake ni kiongozi wa ccm, kama sivyo basi mtu huyo ni zuzu.
 
1723546877236.png
 

13 Agosti 2024​

CCM YAKERWA WANASIASA KUKAMATWA NA POLISI| ALIYEWAKAMATA CHADEMA NI KAMA AMEWAPA TU KIKI....


View: https://m.youtube.com/watch?v=cS06HkkAKwI

kitaalamu na kiusalama,
viashiria vya kihalifu vyenye lengo la kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi haviwezi kupuuzwa na taasisi za kisasa, imara na yenye weledi kama jeshi la police hususani la Tanzania 🐒

hayo mengine ni story, porojo, maoni na mtazamo wa kupoteza muda au kufarijiana tu lakini kazi nzuri na muhimu sana ya jeshi la police kuzima vurugu zilizopangwa na wahalifu walio achiliwa leo kwa huruma ya kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
huyu ni mtendaji mkuu wa CCM na miongoni mwa wasaidizi waandamizi muhimu sana wa Rais na mwenyekiti wa CCM Dr.Hamia Suluhu Hassan, na amefanya kazi kubwa na nzuri sana ya kutekeleza malekezo ya Rais juu ya wanasiasa wahalifu waliotiwa nguvuni mbeya na leo hii wameachiwa huru bila mbambamba yoyote kwa huruma ya rais 🐒
 
criminal gangs can not be allowed or tolerated to endengers peace and stability of Tanzanias in any way 🐒

our modern and very able police forces, through its intelligence unit had already accumulated details informations on chaos plans and thus in a very simple way managed to suppress criminals acts in mbeya regional early yesterday without causing damages or injuries to a single citizen🐒

it is very important to avoid false informations and to associate with criminal gangs in any way 🐒
Strong opposition parties are called criminal gangs in Tanzania 🇹🇿 ???!
Shame on you Gentleman 🤣🤦🏽‍♂️

Mr Nchimbi amesema waachiwe mara moja waliokamatwa maana hao sio wahalifu ! Right ?! 😀
 
Back
Top Bottom