Chadema imepoteza uelekeo kiasi kwamba wanachama wake wamegoma kabisa na kujitenga nayo zaidi baada ya viongozi wao waandamizi kujihusisha na magenge ya kihalifu na njama uporaji, wizi wa mali, uharibifu, uvunjifu wa amani na utulivu wa wana mbeya πUkimalizo post upumbavu wako unaenda pokea posho Lumumba
Hii njaa wameleta ccm ni hatari mno
Jeshi Imara na la kisasa la police nchini, linapambana na magenge ya kihalifu huko mbeya, yenye mipango na njama za uporaji, wizi wa mali na kuleta vurugu kwa mgongo wa mikutano ya hadhara ya kisiasa, mbinu ya kitoto kabisa ya wa halifu kwa magenge ya majambazi hayo πSerekali na Polisi wa ccm wako bize na chadema
Kama ni kweli wamedhoofika mbona wanafuatwa fuatwa mpaka hata huko Mbeya kwenye baridi kali ???Ni dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba.
Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka wala kutaka kujua kwamba viongozi wao wote waandamizi wa chama chao wametiwa nguvuni na nini kinaendelea kwao.
Ni ndugu, jamaa na marafiki za waliotiwa nguvuni ndio pekee wana sumbuka , wana haha na kuhangaika huko na huko, kutaka walau kujua au kufahamu kulikoni, na kufuatilia kinachoendelea huko mahabusu wanakosota..
Wanachama wao hawana kabisa habari nao, wala hawana muda wa kupoteza nao, wanapambana na shughuli na kazi zao za kila siku za kuwapatia riziki wao na familia zao kama kawaida..
Watu wameichoka chadema, watu hawana tena imani na chadema, watu wameamua kujitenga na chadema inayochochea migawanyiko, fujo, na kulazimisha hata mambo yasiyo na maana wala umuhimu kama vile maandamano...
Wapendwa, haya mambo yanahitaji umakini, hekima na busara sana kuyafanya. Vinginevyo utateseka, utahangaika, utasumbuka na kuhangaisha familia, ndugu, jamaa na marafiki zako bure tu, huku ukiwatesa zaidi watoto na wanafamilia wako nyumbani...
Siasa ni sayansi sio uhalifu au fujo.
Je, hali hii ni uthibitisho ya kwamba chadema is no more?π
unajiandaa kuitangaza nia 2025,Agosti 2024
Mbeya, Tanzania
DKT. MWAKAJUMILO - TUNA UHURU WA BENDERA WATANZANIA TUBADILI MITAZAMO YETU
View: https://m.youtube.com/watch?v=qYReffkC0a8Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Dr. Stephen Laurent Isaac Mwakajumilo MNEC mjumbe halmashauri kuu ya taifa CCM, aliyevuliwa madaraka kwa kutofautiana na chama dola kongwe na kupelekwa kuwa DC wilaya ya Namyumbu kisha nako kutumbuliwa aongea kuhusu uhuru wa bandia yaani wa bendera .... tuna wakoloni weusi baada ya kuondoka wazungu ... afafanua uhuru wa bendera kwa kina ...
DC DR.MWAKAJUMILO ATENGULIWA
By Simba Editor | tokea miezi 2
Na Mwandishi wetu.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa wilaya ya Namyumbu Dr Stephen Mwakajumilo.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Mwakajumilo alikuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya.
Utenguzi wa nafasi yake umefanyika Leo June 11,2024
TASWIRA YA WILAYA YA NANYUMBU
Halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu, ni moja kati ya Halmashauri tisa za mkoa wa Mtwara. Halmashauri hii ilianzishwa chini ya Sheria namba 7 ya mwaka 1982 ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) na kutangazwa rasmi katika Gazeti la Serikali Na. 190 la tarehe 01 Julai 2007. Makao makuu ya Wilaya yapo mji wa Mangaka ambao upo umbali wa kilomita 54 kutoka Masasi kwenye barabara ya Mtwara-Songea.
Asili ya wenyeji wa wilaya ya Nanyumbu ni makabila ya wamakua, wayao, na wamatambwe ambao huzungumza lugha zao za asili pamoja na Kiswahili.
1.2 MIPAKA YA ENEO
Wilaya hii iko kati ya latitudo 360 na 380 mashariki mwa Greenwich na latitudo 100 na 120 kusini mwa Ikweta. Nanyumbu inapakana na wilaya ya Nachingwea upande wa kaskazini, wilaya ya Masasi kwa upande wa mashariki, wilaya ya Tunduru upande wa magharibi na Jamhuri ya Msumbiji kwa upande wa kusini
ni kwasababu ya kujihusisha na magenge ya kihalifu, kupanga njama za uporaji, wizi na kuleta fujo na uvunjifu wa amani kwenye biashara na kazi za wanainchi πKama ni kweli wamedhoofika mbona wanafuatwa fuatwa mpaka hata huko Mbeya kwenye baridi kali ???
Be serious gentleman π³πππ±
costa zilizokua zimebeba magenge ya kihalifu sio?πCCM baada ya kuona coasters zaidi ya 300 zenye watu 30 kila moja zinaenda mbeya wakaona isiwe tabu wasingizie kuna maandamano mbeya! Maandamano yawe mbeya yaathiri nini wakati uchumi wa kule sio mkubwa kama dar
Jeshi letu imara na la kisasa la police halita sita kuchukua hatua muhimu za kijeshi na kisheria kudhibiti njama na mipango ya magenge ya kihalifu ili kulinda amani na utulivu, lakini pia kulinda mali na kazi za waTanzania wachapakazi katika maeneo yao...CCM KUTUMIA JESHI LA POLISI KUFANYA UTEKAJI WA KIMBARI IMETUPA AIBU YA TAIFA MBELE YA JUMUIYA YA KIMATAIFA NA MBELE YA WATANZANIA WAPENDA HAKI
View attachment 3068283
Picha : ikionesha Baadhi ya mamia ya waliotekwa Agosti 2024
"Aibu ya Taifa "ni maneno ya mwalimu Nyerere akielezea askari wa KAR Tanganyika walipo wateka raia mwaka 1964 kwa kutumia mitutu ya silaha walizoaminiwa kutumia dhidi ya adui toka nje ya mipaka ya nchi yetu lakini wakazitumia silaha hizo dhidi ya wananchi...
Siku ya Maasi yafaa kuwekwa ktk historia Kuwa Siku ya "Aibu ya Taifa." Maasi ya Jeshi la Tanganyika ya 1964, "Siku ya Aibu": na mwaka huu 2024 ni Aibu ya Taifa kwa jeshi la polisi kuteka mamia ya raia wa Tanzania katika siku moja ya tarehe 12 August 2024
maandamano ya amani ni haki ya mTanzania yeyote, ila ni marufuku maandamano kwa magenge ya kihalifu na majambazi kama yaliyodhibitiwa mbeya jana....Tunafuatilia Kwa Njia ambazo wewe ziko juu ya uwezo wako
Ulitaka tuandamane? Unajua kuwa mpaka UNO saa hz wanajua?
criminal gangs can not be allowed or tolerated to endengers peace and stability of Tanzanias in any way πUtawala wa chama kongwe dola walaaniwa na wapenda haki duniani kote
On 11 August, Tanzanian police arrested and detained leading figures from Tanzania's Party for Democracy and Progress, the main political opposition party known as Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), including former presidential candidate Tundu Lissu and more than a hundred youth supporters, as well as five ...8 hours ago
View attachment 3068274
www.amnesty.org βΊ ... βΊ 2024 βΊ 08
Tanzania: End mass arrests and arbitrary detentions of political ...
Nyie ndiyo waogauoga wao umewatia hofu wanachama wao na kuwafanya wakose ujasiri kabisa wa kuwalilia na kuwatetea kama ilivyokua huko awali, hata wanapopatikana kwenye majanga, mathalani kukamatwa viongozi wao baada ya kujihusisha na njama za kuleta vurugu na uvunjifu wa amani na kujihusisha na magenge ya kihalifu huko mbeya π
ni muhimu mambo mengine yanabaki katika historia tu,Mmeshindwa sasa mnatafuta sababu zisizo na mashiko.
Utekaji huu wa kimbari yaani halaiki ya watu kwa mamia mnawachukua mateka jambo halijawahi kutokea tangu January 1964 ambapo raia 550 walitiwa ndani kufuatia maasi ya KAR Tanganyika 1964
TANZIA - Mzee Kavana (alishiriki Maasi ya 1964) afariki dunia!
Uasi wa Tanganyika Rifles 1964 Timothy Parsons Imechapishwa mtandaoni: 24 Februari 2022 Muhtasari Alfajiri ya Jumatatu, Januari 20, 1964, idadi kubwa ya askari wa vyeo, waliojulikana kwa Kiswahili kama askari , wa Kikosi cha Kwanza cha Tanganyika Rifles, walivunja ghala la silaha la Kambi ya...www.jamiiforums.com
Kibaraka wa CCM wewe unajisikiaje?Ni dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba.
Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka wala kutaka kujua kwamba viongozi wao wote waandamizi wa chama chao wametiwa nguvuni na nini kinaendelea kwao.
Ni ndugu, jamaa na marafiki za waliotiwa nguvuni ndio pekee wana sumbuka , wana haha na kuhangaika huko na huko, kutaka walau kujua au kufahamu kulikoni, na kufuatilia kinachoendelea huko mahabusu wanakosota..
Wanachama wao hawana kabisa habari nao, wala hawana muda wa kupoteza nao, wanapambana na shughuli na kazi zao za kila siku za kuwapatia riziki wao na familia zao kama kawaida..
Watu wameichoka chadema, watu hawana tena imani na chadema, watu wameamua kujitenga na chadema inayochochea migawanyiko, fujo, na kulazimisha hata mambo yasiyo na maana wala umuhimu kama vile maandamano...
Wapendwa, haya mambo yanahitaji umakini, hekima na busara sana kuyafanya. Vinginevyo utateseka, utahangaika, utasumbuka na kuhangaisha familia, ndugu, jamaa na marafiki zako bure tu, huku ukiwatesa zaidi watoto na wanafamilia wako nyumbani...
Siasa ni sayansi sio uhalifu au fujo.
Je, hali hii ni uthibitisho ya kwamba chadema is no more?π
Jeshi Imara na la kisasa la police nchini linachozuia ni mipango na njama za magenge ya kihalifu kuvuruga amani na utulivu wa wananchi, na si vinginevyo πNyie ndiyo waoga
Waacheni watu wafanye mambo
Yao wakimaliza wataenda makwao,mnawazuia nini
Ova
pobilashaka umechanganya gentleman,
I hope,
unazungumzia vice chairman, puppet wa mabwenyenye ya magharibi, right?π
Hakuna mhemko hata mmoja ukweli ndio huwo hamwezi kushindana bila ya figisu za kutumia nguvu za policcm na vyombo vyengine.zingatia hii koment hapa chini bila mihemko, itakupa mwangaza uelewa na ufahamu mzuri na muhimu zaidi ππ
thank you gentleman π
Lakini bado Serikali ya CCM inatumia majeshi yake yoote kupambana na Chadema, ajabu sana hii.Ni dhahiri haina washauri kabisa, haina malengo, mipango, dira wala uelekeo wa kueleweka. Unaweza kusema imebumba.
Hebu check, hakuna wanachama, mashabiki au wakereketwa, wanaojali, wanaostuka wala kutaka kujua kwamba viongozi wao wote waandamizi wa chama chao wametiwa nguvuni na nini kinaendelea kwao.
Ni ndugu, jamaa na marafiki za waliotiwa nguvuni ndio pekee wana sumbuka , wana haha na kuhangaika huko na huko, kutaka walau kujua au kufahamu kulikoni, na kufuatilia kinachoendelea huko mahabusu wanakosota..
Wanachama wao hawana kabisa habari nao, wala hawana muda wa kupoteza nao, wanapambana na shughuli na kazi zao za kila siku za kuwapatia riziki wao na familia zao kama kawaida..
Watu wameichoka chadema, watu hawana tena imani na chadema, watu wameamua kujitenga na chadema inayochochea migawanyiko, fujo, na kulazimisha hata mambo yasiyo na maana wala umuhimu kama vile maandamano...
Wapendwa, haya mambo yanahitaji umakini, hekima na busara sana kuyafanya. Vinginevyo utateseka, utahangaika, utasumbuka na kuhangaisha familia, ndugu, jamaa na marafiki zako bure tu, huku ukiwatesa zaidi watoto na wanafamilia wako nyumbani...
Siasa ni sayansi sio uhalifu au fujo.
Je, hali hii ni uthibitisho ya kwamba chadema is no more?π
jeshi imara la police linapambana na magenge ya wahalifu wanaopanga hatarisha na kuvuruga amani ya waTanzani, hususan hivi karibini kule mbeya,Lakini bado Serikali ya CCM inatumia majeshi yake yoote kupambana na Chadema, ajabu sana hii.
kiukweli ni nyuma mno,Mpo nyuma sana kifikra nyie watu.
po