sure Jeshi la police haliwezi kupuuzia wala kushindana na magenge ya kihalifu,Hakuna mhemko hata mmoja ukweli ndio huwo hamwezi kushindana bila ya figisu za kutumia nguvu za policcm na vyombo vyengine.
Ukiona mtu yeyote anaishabikia ccm ni kwasababu ni mwizi wa mali za umma, ni kiongozi wa ccm anayefaidika na cheo chake, ndugu yake ni kiongozi wa ccm, kama sivyo basi mtu huyo ni zuzu.kiukweli ni nyuma mno,
chama cha siasa kujihusisha na magenge ya kiahalifu kuvuruga amani na utulivu wa wananchi, ni jambo la ajabu na lililopitwa na wakati sana gentleman π
tazama sasa wahalifu wamewekwa korokoroni wanachama wao kimya kama hawaoni vile dah π€£
hata hivyo kwa huruma ya rais wahalifu wameachiwa huru π
criminal gangs can not be allowed or tolerated to endengers peace and stability of Tanzanias in any way π
kitaalamu na kiusalama,13 Agosti 2024
CCM YAKERWA WANASIASA KUKAMATWA NA POLISI| ALIYEWAKAMATA CHADEMA NI KAMA AMEWAPA TU KIKI....
View: https://m.youtube.com/watch?v=cS06HkkAKwI
huyu ni mtendaji mkuu wa CCM na miongoni mwa wasaidizi waandamizi muhimu sana wa Rais na mwenyekiti wa CCM Dr.Hamia Suluhu Hassan, na amefanya kazi kubwa na nzuri sana ya kutekeleza malekezo ya Rais juu ya wanasiasa wahalifu waliotiwa nguvuni mbeya na leo hii wameachiwa huru bila mbambamba yoyote kwa huruma ya rais π
Strong opposition parties are called criminal gangs in Tanzania πΉπΏ ???!criminal gangs can not be allowed or tolerated to endengers peace and stability of Tanzanias in any way π
our modern and very able police forces, through its intelligence unit had already accumulated details informations on chaos plans and thus in a very simple way managed to suppress criminals acts in mbeya regional early yesterday without causing damages or injuries to a single citizenπ
it is very important to avoid false informations and to associate with criminal gangs in any way π